nimepata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stroke

    Siamini kama nimepata kipara, nilikuwa namcheka Mzee wangu

    Wakuu, Siamini kama mimi kijana wenu hatimaye nimepata kipara. Nilikuwa namcheka mzee wangu, Ila hatimaye yamenikuta.
  2. Isenye

    Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  3. Upepo wa Pesa

    Nimepata Tender za Nest na TRA wanakataa kunisajili VAT, je nifanyaje?

    Kwa mujibu wa sheria, ili mfanyabiashara asajiliwe kama VAT unatakiwa either ufike makusanyo ua 200m kwa mwaka, au uwe mtoa ushauri wa kitaalamu au uwe na mikataba inayoonesha kazi uliyopata. Sasa mimi naona nimeangukia hapo kundi la 3 maana japo ni kweli sijafika makusanyo ya 200m kwa mwaka...
  4. Zanzibar-ASP

    Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

    Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024. Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu. Natamani...
  5. The ice breaker

    Nimepata demu wa kimasaai

    Wakuu, hivi ni wamasaai wote huwa wanakeketwa au baadhi Kuna dem wa kimasaai , anatarajia kunitunuku Mbususu yake ya kimasaai niichape.. huyu ni masaai natural mixer kuvaa mashuka na mashanga , ananukia kabisa madawa ya asili, na kapiga kipara.. Sasa nataka kujua wa aina hii huwa wamekatwa...
  6. Grau

    Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  7. Scared

    Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

    Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo Kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda. Nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu. Je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss?
  8. stabilityman

    nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  9. B

    Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

    Katika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19 Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa...
  10. mike2k

    Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  11. Mr Beach Boy

    X wangu kaja hivi baada ya kujua nimepata mpenzi mpya

    Ametoa povu baada ya kuona Nina mpenzi mpya....! Comment ziwe fupi fupi.
  12. Scared

    Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  13. kaisar19

    Nimepata ajira kwenye kampuni fulani

    Habari wakuu Naomba ushauri na mwongozo Mimi ni kijana umri 25_27 nimepata ajira kwenye kampuni flani hapa bongo ya kisafirisha mizigo nikiwa kama BM wa mkoa flani mshahara ni mnono kiasi fulani nilipo anza kazi feb mwaka huu allowance ilikua inatoka kila wiki lakini kwa sasa...
  14. Juuchini

    Nimepata mchempuko permanent

    Wakuu namshukuru Mungu baada ya kuhamia huu mji kwa zaidi ya miezi 5, huku nikitaka wa kunipunguzia upwiru ninapokuwa mbali na wife . Pia si mnafahamu kuwa michubuko inaimarisha ndoa. Nimefanikiwa kulinasa limama mtu mzima kabisa. Huyu ananizidi kama miaka 6 hivi. Sasa hivi mwenyewe ananiita mda...
  15. Mr Beach Boy

    Mungu anipe, hatimaye nimepata mwanamke mwelewa na mnyenyekevu ni Zaidi ya zawadi.

    Mwanamke muelewa Anajishusha Anapenda ujifunze Aisee Nimeokota dodo chini ya mpapai.
  16. T

    Hatimaye nimepata mchumba Mzungu, Namuoa kama mke wa pili na amekubali

    Helooo, Jf, Heloo Tanzania hatimae nimeopoa manzi ya kizungu, yaani ni full mahaba in the house. Sasa namuoa kama mke wa pili na ameridhia kazi kwenu na nyie mtafute kama wanapatikana kirahisi.
  17. Nusratt

    Miss Natafutwa nimeshapata Kazi, Asanteni wote mlionipambania ❤️❤️❤️

    Ila watu wa humu, aiseeee🙌🙌🙌🙌 Anyway, turejee uzi wangu huu https://www.jamiiforums.com/threads/ninapitia-msongo-mkali-wa-mawazo-baada-ya-kusimamishwa-kazi-kisa-vyeti-feki-naomba-ushauri-niweze-kujikwamua.2296429/ Kiufupi wengi walikuwa pamoja nami katika kipindi kifupi kilichopita cha msoto wa...
  18. A

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI

    Nimepata division 2 .20 nataka nisome CBG AU EGM NINA CCC KWENYE CBG HALAFU NINA CD KWENYE EGM VIP HAPA NITATOBOA KWELI?
  19. Dialogist

    Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
  20. W

    Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

    Wala siijui formula ya aina ipi ya mwanamke wa kuoa hata huyu nilite naye siijui kesho yetu hivyo nachoweka hapa ni theory tu lakini waweza kupata kitu. Sikuoa rafiki yangu, nilikuwa na marafiki wengi wa kike hata wa muda mrefu tuliowahi kuwa kwenye uchumba lakini haikuwahi kunijia akilini kuoa...
Back
Top Bottom