niger

Niger or the Niger ( or ; French: [niʒɛʁ]), officially the Republic of the Niger, is a landlocked country in West Africa named after the Niger River. Niger is bordered by Libya to the northeast, Chad to the east, Nigeria to the south, Benin to the southwest, Mali to the northwest, Burkina Faso to the southwest, and Algeria to the northwest. Niger covers a land area of almost 1,270,000 km2 (490,000 sq mi), making it the largest country in West Africa. Over 80% of its land area lies in the Sahara Desert. The country's predominantly Muslim population of about 22 million live mostly in clusters in the far south and west of the country. The capital and largest city is Niamey, located in Niger's southwest corner.
Niger is a developing country, which consistently ranks near the bottom in the United Nations' Human Development Index (HDI); it was ranked 187th of 188 countries for 2015 and 189th out of 189 countries in the 2018 and 2019 reports. Many of the non-desert portions of the country are threatened by periodic drought and desertification. The economy is concentrated around subsistence, with some export agriculture in the more fertile south, and export of raw materials, especially uranium ore. Niger faces serious challenges to development due to its landlocked position, desert terrain, inefficient agriculture, high fertility rates without birth control and resulting overpopulation, the poor educational level and poverty of its people, lack of infrastructure, poor healthcare, and environmental degradation.
Nigerien society reflects a diversity drawn from the long independent histories of its several ethnic groups and regions and their relatively short period living in a single state. Historically, what is now Niger has been on the fringes of several large states. Since independence, Nigeriens have lived under five constitutions and three periods of military rule. After the military coup in 2010, Niger became a democratic, multi-party state. A majority of the population lives in rural areas and has little access to advanced education.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    Final Nigeria vs Egypt

    All d best Mpira ukichezwa kwa haki Hizi ndizo timu za final Hope tumeyao itakuwa uwanjan kushuhudia maana fujo zitakuwepo za kutosheleza
  2. Mshana Jr

    Burkina Faso, Mali na Niger Zazindua Benki ya Kanda kwa Uwekezaji wa Pamoja

    Bamako, Mali – Nchi tatu za Afrika Magharibi, Burkina Faso, Mali na Jamhuri ya Niger, zimezindua rasmi benki ya uwekezaji ya kikanda yenye mtaji wa awali wa faranga bilioni 500 za CFA, sawa na takribani dola milioni 895 za Marekani. Hatua hii inalenga kuimarisha uhuru wa kiuchumi wa mataifa...
  3. S

    Burkina Faso, Mali na Niger zajitoa kwenye mahakama ya ICC, wataja kuwa sababu ni ukoloni mambo leo

    Burkina Faso, Mali na Niger zimetangaza uamuzi wao wa kujiondoa mara moja kuwa wanachama wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za uhalifu wa kivita na kibinadamu ICC,zikidai mahakama hiyo ni chombo cha kuendekeza ukoloni mambo leo na ubaguzi katika hukumu zake. Mataifa hayo matatu ya...
  4. R

    Watu 22 wauawa kwa Shambulio la Waasi wakiwa kwenye Sherehe ya Ubatizo Niger

    Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa watu 22 wameuawa kwa risasi na watu wasiojulikana katika mkoa wa Tillabéri, magharibi mwa Niger, wakati wa sherehe ya ubatizo. Mashuhuda wamesema washambuliaji waliokuwa kwenye pikipiki walifyatua risasi kwa umati wa watu, na kuua 15 papo hapo kabla ya...
  5. L

    Mafunzo yaongeza ujuzi wa tiba ya jadi ya Kichina kwa wafanyakazi wa afya nchini Niger

    China na Afrika zimekuwa na ushirikiano na uhusiano uliodumu kwa miongo mingi, huku pande hizo mbili zikiendeleza urafiki wa jadi. China, ambayo ni nchi kubwa inayoendelea, imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea zikiwemo za Afrika kujipatia maendeleo kwa njia na mifumo...
  6. Yoda

    Niger yaanza kuwabana Wachina, yawapa amri ya kuondoka waliolowea

    Utawala wa kijeshi wa junta wa Niger umeanza kuwabana na kuwatimua Wachina waliolewa nchini humo. Inaeleweza kuwa utawala huo umekuwa katika msuguano mkubwa na Wachina katika taifa hilo la magharibi wakiwa hawaridhishwi na jinsi Wachina wanavyoendesha miradi yao na biashara zao. Utawala huo...
  7. L

    Miaka 50 ya timu ya madaktari wa China nchini Niger

    China ni nchi kubwa zaidi inayoendelea duniani, na ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, ikiifuata Marekani. Pamoja na maendeleo makubwa, China imekuwa mstari wa mbele kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani, zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira...
  8. Dalton elijah

    Niger: Abdourahamane Tchiani aapishwa kuwa Rais wa mpito chini ya sheria mpya

    Kiongozi wa kijeshi wa Niger, Abdourahamane Tchiani, Jumatano ameapishwa kama rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha mpito cha miaka mitano chini ya katiba mpya ambayo inachukua nafasi ya katiba ya taifa hilo la Afrika Magharibi. Hatua hiyo ilipinga vilivyo majaribio ya kambi ya kikanda...
  9. S

    Nchi ya Niger yajitoa kwenye umoja wa Francophone

    Nchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIF). Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger...
  10. S

    Shirika la Msalaba Mwekundu lapigwa marufuku nchini Niger

    Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo kuendesha shughuli zake nchini Niger. Baada ya kupokea amri hiyo kutoka serikalini, ofisi zote za...
  11. S

    Ramani mpya ya ECOWAS baada ya Mali, Niger na Burkina faso kujitoa

    Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...
  12. Just Pray

    Burkina Faso, Mali na Niger zajiondoa rasmi Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS)

    Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Taarifa iliyotolewa na ECOWAS leo Jumatano, Januari 29, 2025, imeeleza licha ya kujiondoa kwao, imetaka mshikamano wa kikanda na...
  13. S

    Akiri kuahidiwa kiasi cha euro 50000 ( zaidi ya milioni 124 za tz) na ufaransa ili kufanya vitendo vya ugaidi nchini Niger

    Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz ili akafanye vitendo vya ugaidi nchini Niger. Mohammed ambaye miongoni mwa raia wa Algeria...
  14. S

    Kampuni ya Ufaransa yapoteza udhibiti mwingine wa mgodi wa Uranium nchini Niger

    Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Ufaransa, ilikuwa inamiliki asilimia 63.4 ya hisa za Somair huku serikali ya...
  15. S

    Wakuu wa majeshi wa nchi zinazounda Umoja wa Sahel (AES) wakutana nchini Niger

    Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024. Wakuu hao wa majeshi walifanya tathmini ya mwenendo wa mapamabano dhidi ya magaidi wanaozisumbua nchi zote tatú. Baada ya...
  16. S

    Mapinduzi ya Niger yaisababishia hasara kubwa kampuni ya uchimbaji URANIUM kutoka Ufaransa

    KAMPUNI ya Orano kutoka nchini Ufaransa imepata hasara kubwa kulingana na taarifa yake ya fedha ya nusu mwaka ( Januari hadi Juni 2024) iliyochapishwa na Yahoo Finance. Taarifa hiyo inaonesha kwamba kampuni hiyo ilipata faida ya Euro Milioni 12 pekee ikilinganishwa na faida ya Euro Milioni 260...
  17. A

    Jana: Nigeria 1-2 Rwanda, Ghana 1-2 Niger Kwanini mnakuwa wazito kuamini Tanzania anashinda leo

    Hivi wasiwasi unatoka wapi, Huyo Guinea Alikaa mchezo wa kwanza akiwa kwao.. Mpira ndugu zangu umebadirika pakubwa.. Mlitegemea Comoro angeweza kufuzu kwa kuongoza kundi mbele ya Giant Tunisia.. Mlitegemea jana Rwanda kuifunga Nigeria kwake na kufikisha alama 8 sawa na Benini. Naomba tuwe...
  18. Money Penny

    Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  19. LINGWAMBA

    Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

    Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
  20. L

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
Back
Top Bottom