nida

National Identification Authority (NIDA) /Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ni chombo cha kusimamia Vitambulisho vya Taifa nchini Tanzania.
  1. Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA mmenyoka sana hadi raha mitano tena

    Kulikuwa na malalamiko sana kwenye mamlaka hii maana kila kijana ukimkuta kijiweni lawama kwa NIDA ila hali mnavyoenda nayo kiukweli niwape maua yenu💐💐💐💐💐💐 Jamaa wangu alipeleka maombi tarehe 01 january hii ya juzi yaani mpaka tarehe kumi tu namba na kitambulisho tayari Hongera nida hongera...
  2. DOKEZO Utaratibu wa kupata Kitambulisho cha Taifa(NIDA) ni mgumu mno, Serikali iingilie kati

    Mwaka 2017 serikali ilileta utaratibu mzuri mno wa wananchi wa Tanzania kupata kitambulisho hiki muhimu cha Taifa Iliendesha zoezi la kujiandikisha kuweza kupata vitambulisho hivi kila kijiji, na zoezi lilifanikiwa kwa zaidi za asilimia 70,kwani watanzania wengi walijiandikisha na kuweza kupata...
  3. Msaada: Nimejiandikisha NIDA miezi 2 iliyopita mpaka sasa hakuna kitu. Nawezaje angalau kupata hata namba tu?

    Wakuu, Nahitaji namba ya NIDA tu maana nimejiandikisha miezi miwili imepita sasa, naweza kuipata kupitia Online service baada ya kuingiza taarifa zangu? Msaada tafadhali. NIDA Tanzania
  4. TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja tu Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA

    TCRA matapeli wa tuma kwa namba hii dawa yao ni moja Ban NIDA iliyosajili hizo namba, pamoja na ku Ban namba zote zilizosajiliwa na hiyo NIDA TCRA chukueni ushauri wangu mtateketeza matapeli wote ndani ya miezi mitatu Swala la utapeli wa meseji za tuma kwenye namba hii ni kama limewazidi akili...
  5. Machines za EFD ziunganishwe na systems za NIDA?? Nimewaza tu

    Nimewaza tu kwamba mtu akinunua bidhaa (mfano: smartphone ya 300,000/=) Muuza duka amuulize na Nambari yake ya NIDA ili jina la mnunuzi litokee kwenye receipt ya EFD, "automatically" Nimewaza tu kwa sauti wadau. Please msinipige mawe..
  6. SI KWELI RITA na NIDA wanafanya marekebisho ya majina au taarifa kwenye vyeti vya kuzaliwa na NIDA mpaka februari 2025

    Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa...
  7. NIDA inawasaidiaje watu waliohama maeneo waliyoombea vitambulisho?

    Kama mtu aliomba kitambulisho chake akiwa Kigoma halafu akahamia Dar es Salaam atafanye kupata kitambulisho chake kutoka Kigoma?
  8. NIDA kutaka kusitisha matumizi ya namba za utambulisho haitasaidia, tumieni njia mbadala ya usambazaji, wananchi hawajakaidi kuvichukua

    Hili la kutaka kufungia namba za utambulisho wazee mnazingua, wananchi hawajagoma kuchukua vitambulisho vyao. *** Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA leo imetangaza kuwa itasitisha matumizi ya namba za utambulisho za wananchi ambao hawatachukua vitambulisho vyao baada ya kutumiwa ujumbe mfupi...
  9. NIDA kusitisha matumizi ya namba kwa wasiofuata vitambulisho vyao

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao. Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
  10. Haya ndiyo mambo ya ajabu ya taasisi zetu - NIDA

    Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka...
  11. Bashungwa Aweka Wazi Programu na Kampeni 10 Zitakazoendeshwa na Wizara ya Vyombo vya Usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama katika utekelezaji wa mikakati ya mawasiliano na programu kumi zilizopangwa kutekelezwa katika kipindi cha miaka miwili...
  12. S

    Kwanini TRC wanasisitiza NIDA kukata tiketi za SGR?

    Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho tena cha Nida naomba kufahamishwa,na je ingetokea nini kama tungekuwa tunakatiwa ticket bila hiyo...
  13. Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  14. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  15. REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  16. Kitambulisho cha NIDA ni muhimu sana, nenda kachukue kitambulisho chako

    📖Mhadhara (72)✍️ Ni siku nyingi sana sikutembelea ofisi ya NHIF. Lakini jana nilikwenda kwenye ofisi ya NHIF kuchukua kadi ya Bima ya afya ya mtegemezi, nikaambiwa kuwa sasahivi mambo yamebadilika. Kwa sasa mtu mzima hapewi kadi ya Bima ya afya bali atatumia NIDA (NAMBA YA NIDA) kutibiwa...
  17. S

    Nakala ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)

    Habari zenu ndugu wana JF, nilikua naomba msaada wa yeyote anaeweza kunisaidia kupata nakala ya kitambulisho cha taifa
  18. K

    Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  19. T

    Namuomba Bashungwa asome hapa kuhusu kero za vitambulisho vya NIDA!!

    Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa. Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA 1. Ni...
  20. Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…