Umihimu Wa Kitambulisho Cha NIDA ni nini?

muzamilsajid

Member
Mar 4, 2014
5
5
Mi swali langu limenyooka sana. Umihimu wa kuwa na kitambulisho cha NIDA ni nini?

Maana tukienda kutengenezesha Passport mpya tunahitajika ku wasilisha vyeti vya kuzaliwa na vinginevyo.

Mimi kwa akili yangu nilikuwa nafikiria kuwa tukishapata Kitambulisho cha NIDA basi tena kutakuwa hakuna usumbufu waku ulizana kuhusu vyeti vya hadi baba ake babu.

Hebu jamani nyie ambao mna elewa sheria tunaomba ufafanuzi kidogo humu.
 
Ni cha Taifa kile Mkuu, unapaswa kuwa nacho, ipo siku usiyo ijua utaambiwa ukitoe.
 
system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali

necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.
 
Mkuu ni kwamba vitengo haviaminiane licha kuwa wizara moja...hata kurenew passiport ya zamani unaombwa kila kitu kama yule anaeoba mara ya kwanza.....
 
system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali

necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.

Nimekuelewa vizuri sana mkuu. as mimi mwneye nipo kwenye department ya IT so naelewa hicho. Lakini kwani hicho kitambulisho chenyewe si kithibitisho tosha kuwa mimi ni RAIA kamili, na nimepewea hicho kitambulisha baada ya vyeti vyangu kuthibitishwa na kuhakikiwa na UHAMIAJI?
 
Kuna Taasisi moja nilijaza taarifa flani. Waliniuliza kitambulisho cha Taifa au cha kuzaliwa..nikagundua kuwa kitambulisho cha NIDA kinatumika mbadala wa cheti cha kuzaliwa.
 
Kabisa mkuu, wana IT tunajua vizuri hili la kuzifanya system ziwe integrated ili kuepuka kuhitajika kwa data kila uwendapo
system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali

necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.
 
system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali

necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.
Mkuu hoja yako nzuri sana.

Inasikitisha sana kwa utandawazi huu wa kidijitali hilo linashindikana.

Hizi mamlaka zinatakiwa ziwe na coordination ya namna hiyo ambayo kupata data za mfumo mmoja kwenda mfumo mwingine iwe rahisi na utoaji wa huduma uwe rahisi pia.

Vyeti vyote vinavyotolewa na vitambulisho huwa vinakuwa na namba(code) maalumu ambazo zingeingizwa kwenye mfumo na ukitaka kupata taarifa husika, hizo code zingeingizwa na taarifa zingepatikana.
 
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Kwenye Line za simu vitambulisho vinavyotambulika ni

Cha Taifa (NIDA)
Cha Mpiga Kura
Leseni ya Udereva
Hati ya kusafiria (passport)
Kitambulisho cha Mkazi Zanzibar

Sijawahi kuona kuwa wanasajili line tofauti na vitambulisho tajwa hapo juu
Mi navojua line za simu unaweza pata kwa kutumia kitambulisho chochote kile.
 
Kwenye Line za simu vitambulisho vinavyotambulika ni

Cha Taifa (NIDA)
Cha Mpiga Kura
Leseni ya Udereva
Hati ya kusafiria (passport)
Kitambulisho cha Mkazi Zanzibar

Sijawahi kuona kuwa wanasajili line tofauti na vitambulisho tajwa hapo juu
Kitambulisho cha mwanafunzi(Chuo, Sekondari)
 
ndio shida ya kuishi kwenye shithole country,wenzetu motto anapozaliwa tu kabla mama hajaruhusiwa kurudi nyumbani,motto anasajiliwa na kupewa birth certificates yenye ID number ambayo ni kama jina lake maana atakufa nayo,na number hiyo imo ndani ya central systems ya nchi nzima,kuanzia kwenye mabenki,polisi,maduka ya kukopesha etc etc
 
Back
Top Bottom