Msaada wa NIDA unahitajika

kagombe

JF-Expert Member
Mar 1, 2015
3,508
1,642
Nauliza hivi, toka nipate number yangu na copy ya kitambulisho inachukua muda gani kupata kitambulisho halisi maana nikiwatumia ujumbe katika email yao najibiwa hivi: Ujumbe wako haujatufikia, tafadhali jaribu tena.
 
Kuna watu huu ni mwaka wa tano toka wajiandikeshe wana no (NIN) tu. Inasikitisha kwa kweli.
 
Back
Top Bottom