Kwa mujibu wa Takwimu zisizokuwa rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi idadi ya watu waliochukua fomu ni zaidi ya 500 na bado wanaendelea kuchukua.
Wanaochukua fomu ina maana kwamba ni wanachama HAI wa CCM na kwamba wanayo kadi ambayo wanailipia.Kama gharama ya Fomu ni TZS 100,000 ina maana kwamba...