Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
Mwezi Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alifanya ziara yake ya kwanza barani Afrika baada tu ya kuingia madaraka kama Rais wa China. Akiwa nchini Tanzania, alitoa hotuba yenye kichwa "Daima Tuwe Marafiki wa Kutegemewa na Washirika wa Dhati" wakati alipokutana na wenyeji wake katika Kituo cha...
Kwanini?
Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana
Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
Ni nini stahiki za hawa watu wawili:
1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36.
2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40.
Naomba msaada wenu tafadhali.
Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani...
Polepole ni kati ya wale vijana ambao walifikiri wana nguvu kuliko walionayo. Sasa amefikia wakati eti wa kutoa elimu ya uongozi!! Elimu gani ya uongozi?
1. Kwenye tume ya katiba kwanza alienda kama watu wa NGOs ambao wanasubiri pesa za misaada ya nchi nyingine. Hakuna uongozi wa maana utapata...
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT
Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.
Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa...
Wanabodi,
Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na kusababisha wapinzani wengi kuunga juhudi.
Anakosea nini kukosoa na kusema kweli kuwa Ccm inafanya...
Kuna habari inazunguka mtandaoni ikiwa ni pamoja na humphrey pole pole mwenyewe kuichapisha kwenye ukurasa wake wa twitter kwamba amevamiwa nyumbani kwake dodoma na watu wasiojulikana.
Kwangu naliona hili tukio kuwa ni tukio la kutengeneza kwa sababu kuu mbili;
1. Pole pole anatafuta huruma...
Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine.
Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
Samia,una habari Nchi ipo gizani?
Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa?
Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani?
Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
Kasi ya ustawi wa maendeleo na ujenzi wa Taifa imara imeendelea kuonekana katika uongozi huu madhubuti wa Serikali ya awamu ya Sita ya Mama yetu Mh. Rais Samia Suluhu.
Ujenzi wa miundombinu katika sekta za barabara,maji, nishati elimu na afya imeendelea kupamba moto kote nchini.
Kazi hiyo ni...
Kuna kijana mtaani kwangu alikuwa anatoka kazini usiku, amepanda boda anaelekea nyumbani, ikatokea gari kwa nyuma na kuanza kumfuatilia, jamaa kafika nyumbani na kuingia ndani, sekunde chache tu akasikia mlango ukigongwa kwa nguvu na sauti za kibabe "fungua!!!, fungua!!!".
Jamaa akahoji nyie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.