nia

  1. Roving Journalist

    Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Baada ya kutimiza siku 76 wakiwa mahabusu gerezani, viongozi wa CHADEMA mkoani Kigoma akiwemo Mwenyekiti wa Mkoa, Rajabu Mfaume Bujoro na Mwenyekiti wa Wilaya ya Kasulu, Phanuel Eliabi Kisabo, pamoja na wenzao watatu, wameachiwa huru leo tarehe 10/02/2026 na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya...
  2. R

    JF administration mbarikiwe, kwa nia njema tunapata pa kutolea mawazo kujenga jamii yetu

    Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe. Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo. Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi. Lakini wao wanasema direction ya nini, tuna polisi na Jeshi na Machawa. No need ya direction!
  3. Analogia Malenga

    Benjamin Fernandes atangaza nia ya kununua benki Afrika Mashariki

    Je anunue benki gani CEO wa mama Nala?
  4. Roving Journalist

    Responded Prof. Mkenda: Wanaopiga picha Shule zenye matatizo ya Miundombinu hawana nia mbaya, Watendaji wawajibike

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa wanaopiga picha shule zenye changamoto ya Miundombinu na kuzirusha kwenye Mitandao ya Kijamii hawana nia mbaya hata kama nia yao ni mbaya ila anachukulia hiyo ni njia ya Utoaji wa taarifa ili ifanyiwe Prof. Mkenda ameyasema...
  5. R

    Kwa nia njema tu: ACT Wazalendo mnakwenda Peramiho kulinda kura?

    Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
  6. M

    Kijana wa kiume acha kabisa story na wanawake kama huna nia ya kuwala

    Nisiwachoshe Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka. Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
  7. K

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  8. R

    Watanganyika i.e vyombo vya usalàma vyote, vyote, mnaomlinda Mzanzibari anauza Tanganyika , jitafakari upya. Kwa nia njema tu kuweka mizania sawa.

    Tujitafakari sana wote, wote Watanganyika kwa nia njema tu na si kwa uhasama au mawazo hasi bali kuwekà mizania sawa
  9. DuaZaMama

    GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  10. DodomaTZ

    GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
  11. ngara23

    Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
  12. Tlaatlaah

    GE2025 Nawasihi watia nia wa CCM tuliopigiwa kura za maoni kuwa watulivu na kujiandaa kisaikolojia Agosti 23, 2025

    Lolote linaweza kutokea na yeyote miongoni tuliopigiwa kura za maoni anaweza kupendekezwa na kamati kuu ya ccm taifa na akaidhinishwa na halmashauri kuu ya ccm taifa, kua ndie atakaepeperusha bendera ya ccm uchaguzi mkuu wa october29,2025. CCM haina cha kupoteza uchaguzi mkuu huu, na yeyote...
  13. Z

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  14. Ojuolegbha

    MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO

    MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi kubwa la wanahabari nje ya ofisi za ccm ilala kinyume na utaratibu Akiongoza kundi kubwa la wasanii...
  15. M

    GE2025 CCM Simiyu yalalamikiwa kuwala kichwa watia nia ya udiwani maswa

    Wanachama wa CCM wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu ambao walikuwa watia nia ya udiwani kutoka Kata mbalimbali wamelalamikia kukatwa majina yao na kupuuzwa kwa maagizo ya CCM Taifa juu ya kurejeshwa kwa majina yao.
  16. Idugunde

    Sio kweli kwamba CCM inakubalika ndio maana ilipata watia nia wengi kwenye ubunge udiwani bali ubunge na udiwani vimeguka kuwa mtaji wa kibiashara.

    Huu ndio ukweli wenyewe watia nia wengi wanaenda walikuwa na nia ya kupata peaa tu maana ubunge unalipa. Mshahara mnono wa mil 15, posho ya kikao laki tatu kwa siku bado madili kibao ukiwa na miradi ya maendeleo jimboni. Hili la kusema eti ni kwa sababu CCM inakubalika sio kweli
  17. kavulata

    GE2025 Nini kimesababisha CCM kujitokeza watia nia wengi nafasi za udiwani na ubunge?

    Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025. Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
  18. Idugunde

    GE2025 Hawa watia nia wa CCM wanaogawa pesa kabla majina hayajarudi wana uhakika gani?

    Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu. Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi? Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi? Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
  19. Street Hustler

    Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  20. W

    Makalla: Watia nia nafasi za Udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge ni zaidi ya 10,000

    Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge. Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge 10,000.
Back
Top Bottom