ANAANDIKA BICHWA KOMWE π
Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi.
Watu wengi hudhani kwamba kupata mtoto inahitaji mikito mingi au kujitutumua na pampu nyingi, LA HASHA...