ni nini

Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.

View More On Wikipedia.org
  1. Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  2. Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  3. Dola(katika siasa) kwa tafsiri ya Kiswahili ni nini? Kwa Kingereza "dola" inaitwaje?

    Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza, Dola ya Kirumi Dola ya Kimarekani Vyombo vya dola Kushika dola Kingereza cha "dola" ni nini?
  4. Je, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya

    JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi. Kizimkazi jina linamanisha katika kujenga Msikiti walikuwepo Kiongozi wao alikuwa ni mtu anajitahdi kwa kazi wale wenyeji pale waka...
  5. Z

    Niponipo sijui woga, uzembe au ni nini? Nishaurini kwenye hili nisije haribikiwa

    Hii ndio siri yangu ya mapenzi nimo JF kitambo ila nimeamua kuja kiufiche ili nipate kuwa huru Mimi ni kijana(Me) eary 20 na sijafikisha 22 bado, Sijawahi Sex kabisa hili ni moja ya jambo ambalo linanitatiza sana why this to me, unakuta kijana wa miaka 17 anapiga story jinsi anavyo tembeza...
  6. Merit Scholarship ni nini?

    Hello JF members, Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti. Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho nimewekewa na option ya "merit scholarship" nikiaswa kuomba. Sasa nimefika hapa mbele yenu kwa wajuvi wa...
  7. Utani wa Simba na Yanga pembeni, bus la SIMBA kuingia kinyume nyume leo kwenye mechi ya kirafiki ilikua ni nini?

    Au ndio mazoezi ya Ulozi kuelekea Shirikisho, si unajua kombe hili la Luza ndio mlichoma Uwanja [emoji23] kule south Africa wanetu Mpaka bus la timu kufanya vitu kama hivi unajua kuna baraka za viongozi, una baki na maswali mengi mno kichwani, anyways tukutane mwisho wa msimu...
  8. E

    Hiki ni nini wana Yanga ?

    Hii ni kanuni ipi ?
  9. Presha kwa Mjamzito na sababu yake huwa ni nini

    Habari Kuna jirani yetu mtaani hii mara ya 3 kila ikifika wiki 1 kabla ya kujifungua anapata presha kubwa kiasi cha kwamba inabidi mtoto atolewe kwa upasuaji na mara zote mtoto ana survive siku 1 tu kisha anafariki Mwaka huu walienda hospital kubwa kidogo kufanyiwa monitoring lakini issue...
  10. Sare za mahafali elimu ya juu, kofia na gauni jeusi, kurusha juu kofia siku ya mahafali,( tossing graduation hats) asili yake ni nini?

    Habari za Leo wanaJF. Naomba mwenye kujua asili ya utamaduni wa wahitimu elimu ya juu ( degree, masters na PHD)siku ya mahafali kuvaa na kurusha juu kofia zao. Najua watu wengi hawajui, tutumie platform hii kuwajuza. Karibuni sana
  11. Tatizo ni nini hasa CHADEMA?

    kulikoni hasa, hata ifikie hatua mwenyekiti wake Taifa akiibua jambo zito na muhimu kwa maslahi ya chama chake, basi haupiti muda mrefu, lazima na makamu mwenyekiti nae aibuke na kituko kingine ilimradi tu kuzima trending ya alichoibua mwenyekiti wake ? kitaalamu hii ni aina gani ya mapambano...
  12. L

    Nisijifanye najua naomba kuziza, Kizimkazi ni nini??

    Wakuu kila nikiangalia runinga naskia kizimkazi kumenoga ni nini hicho ?
  13. S

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection? Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  14. Hivi huu ni umaskini au ni nini, mbona sielewi?

    Kujazana kiasi hiki kunaonyesha hawa wahindi ni masikini au ndo nini? Maana kwa kujazana huku, hiyo Train lazima iende mwendo wa kinyonga kwa usalama wa abiria! Sasa maana halisi ya kupanda chombo cha moto ni nini? Je wana haraka gani mpaka kuhatarisha maisha kiasi hiki? Ebu niambie!
  15. Bachelor ukirudi ghetto ni nini kinakupa Company?

    Ambao hamjaooa huwa mnafanya nini kuondoa upweke uwapo ghetto? Tiririka tupate maujuzi nasisi.... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
  16. Ni nini kitatokea?

  17. L

    Ndugu zangu wa Yanga timu mnayo kweli lakini kwanini mnaingiza mabasi uwanjani bila wachezaji na mnapitia milango isiyo rasmi, shida ni nini?

    Kwa kweli mmekamilika kweli sio utani, ila yapo mambo yanatufanya tuwe na wasiwasi wazee wa Jangwani. Timu mnayo na mnaonyesha kweli mnataka bao, ile move ya Boka hadi mtu akajifunga sio masihara, yule ni Usain Bolt kabisa. Lakini kwanini Azam jana wajifunge mabao yote matatu huku nyie...
  18. Ni nini maana ya certified true copy

    Kwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke. Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe colored. Ni mimi kijana wenu nawasilisha
  19. PreGE2025 Tundu Lissu amtahadharisha Rais Samia, amtaka aache mambo ya ajabu baada ya Polisi kuzuia vijana wa BAVICHA

    Rais Samia usilete mambo ya ajabu ajabu ya Magufuli. Siku ya Vijana Duniani inasherehekewa duniani kote. Kwa nini mapolisi wako wanazuia vijana wa CHADEMA barabarani & kuwakamata? Matumizi ya mapolisi yalimshinda Magufuli, & wewe yatakushinda. Fungua barabara vijana waende Mbeya! Kwa vijana...
  20. Yanga Sports tatizo ni nini mpaka sasa?

    🟢Kila Siku naskia mnatamba kuwa nyie ni Timu kubwa sana Africa, inakuwaje mpaka Sasa sold out ni VIP A tu? Wananchi inaonekana ikifika swala la Hela huwa mnavua jezi kabsaa mnasubili tamasha liishe ndio mvae tena jezi. Hii sio sawa igeni mfano mzuri kwa mashabiki wa Simba. Na Walianza kuuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…