Ni Ni's Treehouse is a preschool television series and was produced jointly by The Itsy Bitsy Entertainment Company and GMTV. It was originally aired on TLC and GMTV from 2000 until 2003.
Nawasalimu Kwajina la JF!
Naweka kiulizo kifupi japo hili swala limeulizwa sana lakini sioni jibu lilolkuwa wazi,
Swali nini kipo nyuma ya Uvumi wa mitandao ya kijamii Hasa ya Serikali ya Israel kuhusu uvumi wa Kifo cha Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahau? Kwanini Nguvu kubwa imekuwa...
Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
Sijawahi kusimama upande wowote either Mungu yupo au la, ingawa hadi sasa sielewi kwasababu sijui. Napenda something which brings logical sense and has facts.
Ninewatch hii video nikasema nilete hapa wadau wanisaidie kunipa mawazo why huyo msichana yupo kama karukwa na akili na pia ni kwanini...
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye...
Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu.
Picha ni JamiiAi Screenshot
Picha ya pili 2
1re
Picha ya tatu 3
Picha ya nne 4
Picha ya tano 5
picha ya sita 6
Muhimu:
Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
Ndugu zangu natumaini mko salama kabisa ,hongera na poleni kwa kazi zenu za Kila siku .
Napenda wajuzi mnifahamishe inapotokea mtumishi aliyeteuliwa akatolewa na kuweka mwingine unakuta anaambiwa atapangiwa kazi nyingine
Je hiyo kazi nyingine haiwezi kupangwa onsport baada ya mabadiliko...
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote
Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
Uzandiki ni hali ya upotoshaji wa habari wenye lengo maalumu.
Mara nyingi uzandiki hutumika kuyumbisha utawala wa nchi adui.
Pia uzandiki unafanywa na watu au kikundi ili kuchongqnishq nchi husikq na raia wake , marekani kupitia idara ya usalama wa taifa nje ya nchi amefanikiwa pakubwa kutumia...
Salam wakuu. Bila kuwachosha
Kwa miongo kadhaa nimekuwa mtumiaji wa simu za hii kampuni ya Tecno
Binafsi sijaona tatizo lolote kama inavyosemekana
Kipindi flani niliwahi kununua simu ya Samsung baada ya kuona zinasifiwa sana ila kwa baadae nilikuja kuiuza baada ya kuona inakula sana moto...
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio.
Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
Ulimwengu wa Roho (spiritual realm/world)
Watu wengi wakisikia neno ulimwengu wa roho wanachanganyikiwa kiasi kwamba wanaamua kukataa na kupinga hayo mambo niyakusadikika hayapo,,
Sasa njoo nikupe a b c ujue nini kinaelezwa, ni elimu si watu wengi wanaijua ukweli wake na hapo ndipo tofauti...
Uraisi ni Kama sherehe tu halafu raisi ni Kama bwana harusi na Bibi harusi.
Ukiwa na harusi hata ya gharama kiasi gani hakika watu wako wengine ndio hufaidi zaidi.
Hata ukaagiza semi ya soda hakika hautakunywa hata soda tatu umalize.
Hata ukakodi ndege hakika hautapanda mwenyewe japo gharama...
Maana ni wazi ukitazama kwa umakini body language, facial expressions and tones za viongozi wa TEC hasa rais wa baraza hilo na katibu mkuu wake, utabaini na kukubaliana na mimi kwamba viongozi hawa kabisa hawana hoja za msingi, wana chuki ya kiwango cha juu mno na dini ya viongozi wakuu wa Taifa...
Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi yale nikajua kuwa lazima watakufa watu wengi kama madhumuni ndiyo hayo. Lakini naona serikali bado...
Hii haijatumika kimakosa, tunajua Polisi wanaanza kuingia taratibu kwenye Lugha za Kiislamu, maneno Sharia, Kadhi na mengine itabidi tuyazoee, lakini isiwe ghafla hivi jamani !!!
Habarini wanajamvi LA jamiiforums
Kuna ili Jambi linniwazisha na kunisononesh sana for surer, kafaraa ya taifa in kitu gani?
Akina nani in wausika was kutolewa kafara?
Msaada wa majawabu tafadhariini
Watanzania tutafakari kwa kina, je tumeona vipaumbele vya maandamano? Je umekaa chini ukajiuliza tarehe 29 ulitaka ama kufanya maandamano Kwa nini? Na hayo yanayokuja unataka kuandamana kwa sababu Gani?
Mimi ni mtanzania mpenda Haki, na watanzania wapenda Haki tujiulize kua vipaumbele vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.