Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 491
- 781
Mimi ni mkazi wa Shekilango NHC maghorofani. Kwa kweli hali ni mbaya sana kwa sasa. Tumekuwa tukilipa fedha za usafi kila mwezi kama inavyotakiwa, lakini cha kushangaza, huduma ya ukusanyaji taka haipo kabisa.
Taka zimekuwa zikizagaa hapa kwa takribani mwezi mzima sasa. Harufu ni kali, mazingira siyo salama tena, na tunahofia hata magonjwa yanaweza kuanza kuongezeka kutokana na hali hii.
Taka zimekuwa zikizagaa hapa kwa takribani mwezi mzima sasa. Harufu ni kali, mazingira siyo salama tena, na tunahofia hata magonjwa yanaweza kuanza kuongezeka kutokana na hali hii.