nguvu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tutakuja kwa nguvu yote Kenya kuwekeza

    Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara Awali Rais Samia alisema...
  3. JamiiForums Tanzania AKIKI au AQEEQ: Jiwe/kito chenye nguvu ambacho utatamani kuwa nacho Baada ya kusoma hapa!

    JIWE LA AKIKI Katika makala hii nitakuelezea kuhusu kito chenye nguvu za miujiza zilizojificha ndani yake na baraka Kito cha Aqeeq faida zake ni nyingi na kipo katika historia mbalimbali na maarufu kama pete iliyowahi kuvaliwa na Mtume Muhammad Swala Allahu 3aleyhi wasalam. Nitakuelezea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilitaka turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa nguvu

    Wadau salaam, kipindi cha awamu ya 5 kuna baadhi ya watu waliondolewa kwenye nafasi za uongozi wa taasisi za umma kwasababu ya kua opposition, mfano aliyekua mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari Madasenga. Alikua na vigezo vyote lakini aliondolewa kwasababu tu ni chadema. Bahati mbaya...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanajua kuwa ni waongo na hawamuogopi hata Mungu kwa kuongopa na wanautetea uongo kwa nguvu zote

    Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena. Nilidhani baada ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Bado Kuna mtu anapinga nguvu ya harmonize kwa Sasa kwenye tasnia ya muziki Tanzania?

    Habari za jioni wanajamii. Bila Shaka safari ya Harmonize kwenye muziki nje ya WCB imepamba Moto. Hype iliyoonekana kwenye wimbo wake wa attitude bila Shaka imeonyesha nguvu yake kwa hapa bongo. Hype za namna hii kiukweli alikuwa anaweza kuzitengeneza diamond tu. Kwa Sasa Harmonize amefuzu na...
  8. JamiiForums Tanzania Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

    The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuchepuka, Nguvu ya kuanzisha mahusiano

    Kiasili, kati ya mwanamke na mwanaume mmoja wapo akipenda na kuamua kumpata yule alie mpenda, kwa mwanamke ni rahis sana kumpata mwanaume alie mpenda. Kwahiyo tukiwa ndani ya mahusiano, mwanaume anapotiza mwanamke mwingine na kuona ni mzuri si hatari sana kama mwanamke atakapo angalia mwanaume...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  11. JamiiForums Tanzania Nguvu za ziada zinatoka wapi?

    NGUVU ZA ZIADA ZINATOKA WAPI? Nguvu za ziada ni nguvu ambazo baadhi ya binadamu wamebarikiwa kuwa nazo . Huu ni uwezo ambao uko juu ya nguvu za kawaida za WATU . Kwa mfano , mtu kuweza kuona mambo yaliyojificha na kuyasema, au mtu kuweza kuhisi kwamba, jambo fulani litatokea na likatokea kweli...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

    Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa " Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM. Kikwete aliweka hili...
  13. JamiiForums Tanzania Nguvu za kutamka 'nina mimba yako' unapata wapi?

    Umepewa nauli, umelipwa kama short time unapata nguvu gani kusema nina mimba yako? Halafu nina mimba yako nafanyaje? Unakujaje uko danger? Tembeeni na kinga siyo kujiachia kama mkasi.
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

    Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea suala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya. Wewe unapataga...
  15. JamiiForums Tanzania Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

    ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Passport ya Kenya na Tanzania zaorodheshwa namba 8 na 9 mtawalia kwenye Passport zenye nguvu zaidi barani Afrika

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index. • Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika. • Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha. ✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Navyoona si Bashiru si Polepole hawana nguvu tena, wanagugumia tu

    Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu! Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama...
  19. JamiiForums Tanzania Penzi la Rayvanny na Paula laanza upya

    Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala. Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi. ---
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mfumo humfanya kila mteule (mtu) afanane na aliowakuta

    Nguvu ya mfumo! Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani! Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!! Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi! Ni binadamu wachache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…