nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Vits new model kukosa nguvu

    Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:- 👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima 👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Lary Fink: Mtu mwenye nguvu zaidi Duniani kwenye ulimwengu wa fedha

    Kampuni yenye nguvu zaidi Duniani na kwa bahati mbaya unaweza usiwe unaijua, kwa jina ni BlackRock. Hadi sasa Kampuni hii ina manage Mali zenye thamani ya Dola Trilioni nane( USD 8 Trillion) (hii ni kwa makadirio sawa na pesa za kitanzaninia Trilioni 18,400/-) moja kwa moja(Directly) na...
  3. JamiiForums Tanzania Tunatokaje kwenye hili la nguvu za kiume?

    Tatizo la nguvu za kiume linaelekea kutugeuza Kuku. Sasa tupo kwenye stage ya Kula mashudu na hatimaye tutakula pumba mwishoni.
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi trafiki Dar wanavyopata pesa bila kutumia nguvu

    Habari, Nimetumia nafsi ya kwanza si kwamba Mimi ni trafiki , hapana bali nawasilisha mazungumzo tu niliyofanya na rafiki yangu mmoja ambaye sasa kahamia Trafiki kutoka kwenye kitengo kingine cha kipolisi hapahapa jijini Dar es salaam. Huyu kijana ambaye anapenda sana maisha ya starehe...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  6. JamiiForums Tanzania Wamasai 150,000 kuhamishwa kwa nguvu!

    Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat? Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria Wamasai laki moja na nusu ni kama ufukuze wakazi karibia wote wa mji wa Moshi, This is insane, hata...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna mambo mengine usipoteze nguvu zako kuyapinga

    ✍️ Hakuna namna ya kuyakataa haya mabadiliko. Kinachoitwa ukosefu wa maadili leo hii hata ukikemea utapoteza nguvu tu. Mambo yenyewe yalianzia kwa wazungu, inavyoonekana wao wameshayafanya wakakinai wamebaki kuendekeza ujingaujinga mdogo Kama ushoga, ngono kati ya wazazi na watoto nk. ✍️Mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Kamanda Muliro azungumzia nguvu ya mwanamke ndani ya Jeshi la Polisi

  9. JamiiForums Tanzania Hakuna beberu linalopenda kiongozi mzalendo halisi, wapo kimaslahi sana, usipokubaliana nao watakutoa tu, labda uwe na nguvu kijeshi

    Kwanza kabisa hawa wazungu wapo kimaslahi tu na unafiki wa upendo,ukienda tofauti nao watakutoa tu kwa gharama yoyote. Leo hii na hata zamani angalia vingozi wenye msimamo mkali kwa mabeberu wanavyochukiwa na wao. Fidel Castro alichukiwa sana. KAZI ZAO KUU NI Kwanza watataka utawala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Madhara yatokanayo na kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume

    Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya sehemu za siri za mwanaume kuwa na uwezo mdogo au kutokuwa na uwezo kabisa kuhimili tendo la ndoa kwa muda mrefu. Kutokana na tatizo hilo kuenea katika jamii, kumeibuka matumizi mabaya ya dawa za kuongeza nguvu za kiume pasipo kufuata ushauri wa wataalam wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatumia nguvu kubwa kutaka wanachama wake kujaza fomu TUF 15?

    Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT. Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume, ukitumia nguvu kubwa/gharama kubwa kumpata mwanamke tambua hapo haupendwi

    Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa welendi mkubwa nawapongeza sana. Turudi kwenye mada.... sio utafiti ila kwa wadada wengi ambao...
  13. M

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yazidi kuibomoa CHADEMA. Je, hizi nguvu wanazitoa wapi huku Tanzania bara?

    Wamebomoa ngvu ya Chaso vyuo vikuu kibao 👇
  14. E

    JamiiForums Tanzania Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  16. JamiiForums Tanzania Nguvu Ya Ukiri Inavyoweza Kuleta Matokeo Chanya Au Hasi Kwenye Maisha Ya Mtu

    "Yafueni majembe yenu yawe panga, na miundu yenu iwe mikuki; aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari", Yoe 3:10 SUV. Mtu aliyechoka sana kwa kukata tamaa au kwa kuchoka, mtu huyu anaweza kuinuliwa kwa kinywa chake mwenyewe, ama mtu huyu anaweza kuinuliwa na maneno yenye kumtia moyo. Ukiri wa mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Nguvu ya "NENO" katika Dunia na Katika Maisha yako

    NGUVU YA "NENO' KATIKA DUNIA NA KATIKA MAISHA YAKO! Anaandika, Robert Heriel. Isomwe Kwa hekima Kwa walio na hekima, wapate ufahamu. Pia isomwe kipumbavu na hao waliowapumbavu, wazidi kuchanganyikiwa katika njia panda za fikra zao. Andiko hili ni Kwa watu wote. Neno ni sauti yenye maana. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Jichunguze; inawezekana mahusiano uliyonayo yanatokana na nguvu ya mzizi

    Mwezi uliopita, nilienda kumtembelea mpenzi wangu wa zamani Kahama; baada ya kufika, nikatafuta sehemu nzuri ya kupumzika. Nikamjulisha sehemu nilipofikia; na baada ya muda akawa amefika. Tukaweza kupasha kiporo, na mambo mengine yakaendelea. Sasa katika kubadilishana mawazo, akanisihi sana...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  20. JamiiForums Tanzania Jana nimelia ndani ya blanketi baada ya kuukosa mpira na kidole gumba kugonga sakafu kwa nguvu, panadol haikusaidia

    Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza. Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani. Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…