nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba mwanaume akifika mshindo ni sawa na nguvu anazotumia kutembea kwa mguu umbali wa kilometa 3 ?

    Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa usingizi mzito. Kuna namna yoyote huo uchovu ni kama ule wa mtu anaetembea kilometa tatu ?
  2. JamiiForums Tanzania Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  3. JamiiForums Tanzania Jina la Hayati Magufuli bado lina nguvu sana

    Hii ni kweli kabisa wala hakuna haja ya kubishana na mafisadi fulani hivi ambao wanajifanya watetezi wa watu kumbe ndiyo wezi wakubwa wa taifa hili. Anyway lengo langu siyo hilo. Hayati Magufuli alikuwa kiongozi bora kabisa pamoja na baadhi ya mafisadi fulani kumchukia siyo case mtu hawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Ulaya ‘haina nguvu za kutosha’ kukabiliana na tishio la Urussi – Finland

    Nchi za Magharibi zinapaswa kuimarisha ulinzi huku mzozo wa Ukraine ukiendelea, Waziri Mkuu Sanna Marin amependekeza Nchi za Ulaya zingekuwa katika hatari sasa kama isingekuwa kwa Marekani kubeba jukuu katika mzozo wa Ukraine, Waziri Mkuu wa Finland Sanna Marin alidai Ijumaa. Pia aliwataka...
  5. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Diamond Anayejijua kimziki kashuka na kuhamisha juhudi zake aje kuwa mfanya biashara mkubwa bilionea

    Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea. Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  7. JamiiForums Tanzania CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

    WanaJf, SALAAM! Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK 1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura; 2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI Nyama na supu ya Pweza inasaidia kuongeza nguvu za kiume

    Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi. Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
  9. JamiiForums Tanzania CCM isimbeze Dkt. Bashiru Ally, na isitumie nguvu kumkabili

    WanaJf, SALAAM! Mara nyingi ikitokea viongozi wastaafu wa nafasi za juu kulalamikia jambo fulani kuhusu uendeshaji wa nchi - huja vijana wa chama maarufu kwa UVCCM na makundi mengine ya wanufaika wa enzi hizo kushambulia hoja, maoni na mtizamo wa mtu. Kama ilivyotokea kwa kundi la CDE Kinana...
  10. T

    JamiiForums Tanzania CCM muwekeni Bashiru jirani ana nguvu sana kuliko balozi Polepole

    Naombeni nitoe angalizo kwa CCM na viongozi wake, najua sasa Dkt. Bashiru ataanza kusakamwa na vijana wa Lumumba naomba msiruhusu hilo, ni hatari sana. Ukimya wa Dkt. Bashiru ni heri ya CCM na kuongea kwa Bashiru ni pigo kwa CCM. Dkt. Bashiru ana nguvu sana tena sana ni Mara 100 ya nguvu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba msikate tamaa

    Naona namna ambavyo wanadada wasiyo na makalio wanavyodharaulika mtaani. Nawaonea huruma. Wanapitia wakati mgumu sana katika maisha yao. Kwa kwali miungu iwatie nguvu. Ukiangalia kila sehemu hamwonekani kuwa na thamani. Hata hamheshimiki, hata wanaume hawawaoni kama ni wanawake, mnaonekana tu...
  12. JamiiForums Tanzania Tuulinde kwa nguvu zote mchezo wa soka ambao umeanza kuvamiwa na wauza madawa ya kulevya

    Soka ni mchezo unashabikiwa na kuangaliwa na watu wa rika zote wakiwemo watoto hivyo basi popote linapojitokeza jambo ambalo linaweza kushusha heshima ya mchezo huu ni lazima lipigwe vita kali. Kuna habari kwamba kocha wa makipa wa timu kubwa hapa nchi amekutwa na mzigo wa madawa ya kulevya...
  13. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tohara husababisha upungufu wa nguvu za kiume na kuongeza hatari ya maambukizi ya VVU/UKIMWI

    Kuna baadhi ya watu wanaamini kuwa wanaume waliyofayiwa tohara hupata tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokua, na ni kundi ambalo lipo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU kwa urahisi ukilinganisha na wale ambao hawajafanyiwa tohara. Ukweli upoje?
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya tohara na upungufu wa nguvu za kiume na hatari ya maambukizi ya VVU?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya: 1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge Shigongo na Sanga hii Vita mnayotaka Kuipigana mmejiandaa na Nguvu ya 'Mafia' wanaowazunguka?

    Nawaoneeni sana na mno Huruma.
  18. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  19. JamiiForums Tanzania Ifike mahali nguvu ya umma itumike kuwawajibisha viongozi

    Tanzania na baadhi ya Nchi za kiafrika viongozi wetu hawana utamaduni wa kuwajibika pale ambapo wameboronga. Na Sisi wananchi tunabaki kulalamika tu huku watu wakiendekea kufanya madudu. Nawakubali sana waarabu wanamsimamo na wamesonga mbele. Wao huwa ni ambushi mwamzo mwisho wasipomtaka...
  20. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

    Umempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili. Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…