nguvu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    Katiba ya Chama iko wazi. Inapofika wakati wa uchaguzi mkuu wa Urais Madiwani na Wabunge basi ndani ya chama kila mwenye sifa anaruhusiwa kuchukua form na kugombea. Endapo kama ana viwango na sifa takiwa basi Kamati Kuu ya CCM inaweza kumpitisha kama Mgombea wao. Achana na zile stori za...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kijinsia katika tendo la ndoa

    Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo husika. Kukiwa na setback yeyote miongoni mwa hayo tatizo la nguvu kupungua huanzia hapo. Na...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuokoa ndoa kwa sababu ya wanawake kukosa nguvu za kike?

    Kumekuwa na kasi kubwa ya wanawake wengi hasa mijini kukosa nguvu za kike, nao moja tu uaanza kulalamika eti amechoka na visingizio kibao mara amechoka,mara anamaumivu mara anamawazo na n.k Nini kifanyike hawa viumbe wawe kama zamani unalala unaikoboa na bado asubuhi wanadai . Kazi ya kucheka...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran ndani hakukaliki, hofu kote, serikali inatumia nguvu nyingi kuaminisha hali shwari

    Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel huwa hatangazi. Tukumbushane tu mpaka sasa matokeo. Iran imepoteza majemedari saba. Israel imepoteza...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nakaribia Kujiuzuru rasmi Kuizungumzia Simba SC yangu kwa Nguvu zangu zote hapa JamiiForums, kwani imeshanichosha sasa

    Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi...
  7. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kipimo cha nguvu za Mungu maishani mwako kiko kichwani na kinywani mwako?

    Tofauti yako na yule ambaye unaona anamfaidi Mungu na nguvu zake iko kichwani na kinywani mwako. Wote ambao akilini mwao wanaamini katika ufinyu na uhafifu wa uwezo wa Mungu watafaidi uhafifu na ufinyu huo. Wale wanaoamini katika na kusadiki kabisa kuwa kwao Mungu ananguvu na uweza wote kuliko...
  9. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Patrick Nyembera ndio adui mkubwa wa Yanga. Wananchi tuunganishe nguvu kuingia nae vitani

    Wananchi huyu shabiki wa Simba aitwae Patrick Nyembera anaefanya kazi Azam media amekuwa akitumia nafasi yake pale Azam kuihujumu Yanga. Popote utapomuona huyu kolo mwambie kaa mbali na Yanga ikibidi tumia ile kauli mbiu sisi tuna watu.
  10. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee wapinzani kuibua madudu ya Chama Tawala au tupate Wanahabari wazalendo wenye nguvu za Kisheria kuibuia madudu ya wanasiasa

    Tumetukuwa tukitegemea Vyama vya Upinzani kuibua Madudu ya Chama Tawala; Binafsi naamini kwamba Vyama ni Muunganiko wa Watu wenye Mawazo yanayofanana ya jinsi gani tunaweza kutoka hapa na kufika pale..... Kama tunakwenda mjini wengine wanaweza kuamini tutembee kwa miguu ili tujenge Afya na...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

    Wakuu, Nimesikia sikia sehemu kuwa wakati wa tendo pale mwanaume akiwa anabana pumzi stamina inakua inaongezeka na anaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Kuna mwenye amewahi kushuhudia hili au kuna maelezo ya kisayansi yanayothibitisha hili? Mimi naona nilipigwa kamba tu hapa! Kwenu wataalam...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  13. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

    Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi. Wabunge waliopo sasa...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  16. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mashabiki wa Simba nguvu zao na mijadala wameielekeza yanga na kuisahau timu yao?

    Nimeshangaa sana awa wafuasi wa mangungu kutoijadili timu yao iliyopigwa nje ndani na Aly ahly na badala yake wamekuwa makini kujadili mechi za Yanga dhidi ya Mamelod kuanzia mechi ya kwanza mpaka ya mwisho Pretoria? Najiuliza timu yao walishaikatia tamaa siku nyingi na imepoteza mvuto mbele ya...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  18. maroon7

    JamiiForums Tanzania Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini; kuna sabuni zinapoteza nguvu za kiume!!

    Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale waliozoea ubishi basi sawa endeleeni.
Back
Top Bottom