Twime tubite
Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo.
Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema au kukutana na jambo ambalo lilimpa uhakika wa mahala hapo kwamba hakuna kitu,yaani hakipo...