Ijue nguvu ya hamna(nothingness)

MUWHWELA

Member
Oct 26, 2013
89
123
Twime tubite

Nafahamu Yale niliyochagua kuyafahamu kwa kiwango Cha ufahamu wangu, Ili hayo hayo yawe mwanga kwa wengine, hasa Katika dhana ya udadisi wa mambo.

Hakuna MTU ambaye hajawahi kusema au kukutana na jambo ambalo lilimpa uhakika wa mahala hapo kwamba hakuna kitu,yaani hakipo kabisa..mfano!! Ukipokea box la zawadi ambalo hakuna zawadi mule ndani, utasema ndani ya box licha ya kutungwa vema Lakini hujakuta kitu.

Kwanini unasema hujakuta kitu...sababu ni zaidi ya moja Lakini sababu kubwa ni hii..chochote ambacho macho yako hayawezi kuona basi hapo ni hakuna kitu,Hitimisho linakuwa Hilo.

Lakini ukiongeza umakini ndani ya Hilo box Kuna gas mbali mbali na particles ambazo Zipo Lakini kwa uwezo wa macho yetu hatuwezi kuona.. Sasa nguvu ya hakuna(nothingness )Iko wapi, na nguvu hiyo ni nini?

Kuna maisha mengine zaidi ya haya yenye ushahidi wa macho, wengine wanaweza kuwa na concept tofauti na kuzipa majina tofauti, Lakini msingi wake ni mmoja tu.. Huu ulimwengu unatembea kwenye vipimo vingi tofauti hupaswi kuhukumiwa au kuhukumu kwa kipimo KIMOJA Cha macho.

Wenzetu wenye Dini hiyo nguvu(energy) ambayo haionekani wanaita roho(spirit)kwa kuwa vipimo vingine vya energy hizo hatuwezi kuzitafsiri basi inaweza kubaki Katika kundi moja( nguvu yoyote ambayo haionekani ndiyo MUNGU MWENYEWE)

Inaweza ikaja dhana kama dhana nyingine zilizopo Leo kwamba Kuna Kuna nguvu mbaya(shetani) na nguvu nzuri(MUNGU), Mimi nafahamu kwamba ubaya au uzuri ni mtazamo wa MTU kwa mazingira yake na aina ya Fikra aliyoamua iongoze Fikra zake. Lakini nguvu ni Moja tu ambayo Haina exactly definition till today.

NB: usiishie WALIPOISHIA watu wengine, nenda nje Yao ikiwezekana ,tumia UBONGO wako kuleta Fikra mpya, Fikra zote zilizopo Leo Katika sekta zote ni concepts zilizoafikiwa na Wana jopo Fulani mahala Fulani mwaka Fulani.

Hata sisi kama watanzania au jamii ya wanajamiiforum tunaweza kuwa na aina yetu ya concept ambayo tukiishi Nayo miaka ya kesho itakuwa ni sehemu ya mafunzo wa jamii ya wakati huo.

"HAKUNA MFANO NYUMA YA MFANO, NYUMA YA MFANO KUNA IMANI"

-+++++-----

IPE AKILI KAZI
 
Hakuna kitu ni neno lipo ili kurahisisha kuelezea kitu kinachoonekana au kuhisika lakini siku zote kuna kitu. Yaani ni kitu, kitu,kitu kila sehemu ni kitu kitu ndo maana wanaoamini kuwa kifo si mwisho bali ni kubadilika kwa state ya energy inayounda vilivyopo wana point.
 
Jamii forum ndio mahala ambapo paliivuruga iman yangu kwa Mungu. Hapa nimekutana na wadau wanaachochea curiosity mpaka unaona daah!! Kwakwel before, i used not to question anything about God, na maisha yangu yalikua ya amani na mazuri kabisaa.
Am on my way to my old ways. Hiz questioning about God, nimekuja gundua hazina maana wala hazisaidii kitu zaidi ya kukuletea confusion tu
 
Ok
 
Akili nyingi bigup
 
Utaendelea kubaki mjinga. Questioning ni mwanzo wa kuamka kiroho
 
Sasa mi mbona kwangu naona kama imenirudisha nyuma sana chief
Mkuu,hili ni somo refu kidogo. Ukiwa tayar unaweza kuelekezwa. Wapo wengi humu wanalijua hilo. Mungu ni nguvu iliyoko ndani yako.

Kuna namna unaweza kufanya ukaanza ku experience hyo nguvu badala ya sasa wewe unaijua nguvu ya Mungu conceptually na logically badala ya Experiential.
 
Reasoning ni mwanzo mzuri wa kumjua
Hakuna kitu ni neno lipo ili kurahisisha kuelezea kitu kinachoonekana au kuhisika lakini siku zote kuna kitu. Yaani ni kitu, kitu,kitu kila sehemu ni kitu kitu ndo maana wanaoamini kuwa kifo si mwisho bali ni kubadilika kwa state ya energy inayounda vilivyopo wana point.
Mungu vizuri kabisa siyo kama hii inayoheshimiwa na wenzetu with no evidence.akili alitupa Mungu mwenyewe tuzitumie
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu,hili ni somo refu kidogo. Ukiwa tayar unaweza kuelekezwa. Wapo wengi humu wanalijua hilo. Mungu ni nguvu iliyoko ndani yako.

Kuna namna unaweza kufanya ukaanza ku experience hyo nguvu badala ya sasa wewe unaijua nguvu ya Mungu conceptually na logically badala ya Experiential.
Niko tayar chief to learn that
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom