ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unaweza sema mwamba anasikitikia kazi ilivyo ngumu lakini anawaza ni style gani atayomkunja bebi akishapata posho jioni

    🤣
  2. Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  3. Jumapili ngumu maishani

    Naam katika maisha kuna kupanda na kushuka. Sasa moja na mbili kwa wenye kuutambua mguu wa Yesu pamoja na makandokando yetu huwa tunazingatia ibada. Kwa imani yangu binafsi kanisa ni kwa ajili ya watu aina yangu ambao si watakatifu. Naamka alfajiri kujiandaa kwenda ''Church'' ,,,kila nguo...
  4. FT' Liverpool 1-0 Arsenal, Liverpool ya moto, Ushindi wa tatu mfululizo EPL

    Timu ya LiverpoolFC imeitandika Arsenal kwa Goli 1-0 katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya England (EPL) kwenye Uwanja wa Anfield, leo Agosti 31, 2025. Goli pekee likifungwa na Dominik Szoboszlai raia wa Hungary katika dakika ya 83. Hivyo, Liverpool imefikisha alama 9 baada ya kushinda mechi 3...
  5. ACT -Wazalendo kwa Mpina walikumbatia mzinga wa nyuki wakidhani ni gogo la mbao ngumu.

    Sijui ni kwanini wapinzani hawakomi, kila uchaguzi wananaswa kwa mtego uleule wa CCM unaotegwa kwa aina ileile na kunaswa palepale chini ya mkanda. Orodha ya mitego ni ndefu sana (Marando, Mrema, Prof. Lipumba, Dr. Slaa, Lowassa, Sumaye, Lamwai, Mpina, Membe). Iko hiviii!! Kule CCM huwezi...
  6. Wanawake wana kitu inaitwa (Emotional Bonding) ,hii hasa ndo sababu ni ngumu single mothers kuacha kuwasiliana na Baba mtoto wake au X wake.

    Leo nimeamua kuwasaidia na maarifa nawapa bure . Kwanini single mothers hata umpe mahitaji yote ya muhimu , she will keep in touch with her EX or single dad . issue kubwa ni Emotional bonding,. Nadhani wanaume watakuwa mashahidi, pale akihitaji kuruka na X baby Mama wake huwa ni rahisi Sana .
  7. EV zina gharama ndogo za uendeshaji kuliko magari ya ICE. Sema ngumu sana kumshawishi Mtanzania

    Wakuu, nimekutana na mjadala wa magari ya EV (electric vehicles) vs ICE (internal combustion engine) kwamba ipi ni afadhali kwa mtu mwenye mizunguko mingi (~km 50 hivi kwa siku). Mabishano yakikua kwenye issue kuu tatu, gharama za matengenezo, uendeshaji na uwoga wa battery kuchakaa. Najua kwa...
  8. Forex si ngumu ila unatakiwa utambue vitu viwili Market sessions na Moving Average 3 startegic.Utanishukuru wa sitaki pesa yako.

    Neno “Forex” linatoka kwa Foreign Exchange Market, ambayo ni soko la kubadilishana fedha za kigeni. Kwa maneno rahisi ni sehemu ambapo watu, benki, mashirika makubwa, na wawekezaji huuza na kununua sarafu za kigeni. Mfano Kubadilisha Dola za Marekani (USD) kuwa Euro (EUR) au Shilingi za Tanzania...
  9. Kumbe Sponsors bado wapo, nilidhani hali ngumu wametulia na wazee wenzao

    Kabla sijawapa hii story nina lalamiko langu serikali iangalie hili suala, nasafiri sana na SGR Dar-Dom ila tangu nimeanza hizo safari sijawahi kukaa siti moja na mrembo yoyote Yaan kwenye waiting room utawaona kama wote mkiingia kwenye train unakutana na mijibaba tu na yenyewe kwa kutongoza...
  10. Mnawezaje Kula Kitimoto mkakifurahia na Ndizi mzuzu ngumu?

    Jana usiku kuna mahali nimefika watu wanauza kitimoto na ndizi mzuzu ngumu sana(zisizo mbivu ambazo zimekaangwa). Hawana kitu kingine cha kulia kitimoto zaidi ya hizo ndizi mzuzu ngumu mbichi au ugali, niliweza kula hizo ndizi moja na nusu mpaka sasa hivi nahisi zimesimama tumboni. Mandizi...
  11. Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  12. Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

    Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
  13. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  14. J

    Yanga yamuwekea ngumu Mzize kwenda Al-Masry

    Akizungumza na jembe FM Bi jasmine Razack ambaye ni msimamizi wa mshambuliaji wa Yanga SC na timu ya taifa ya Tanzania Clement Mzize amesema klabu ya yanga imegoma kumwachia Mzize kujiunga na klabu ya Al Masry kwa ofa waliyokuja nayo huku Yanga wao wakitaka kiasi Cha dola million moja ili waweze...
  15. Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  16. Kikwete aliwahi kusema kuwa wana Ccm hawaachiani maji ya kunywa, kwahiyo kama Kuna watu hamkuelewa mtaelewa kwa njia ngumu

    Wana Ccm hawaachiani maji , kauli hii aliitoa kikwete .
  17. Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi

    Nafasi za ma-ceo kwenye mashirika ya umma watakuwa wanafanyiwa interview ngumu sana na sio nyepesi
  18. Tanzania bado tunahali ngumu sana

    Kumekuwa na takwimu za vichocholoni hizo takwimu hazina uhalisia wowote tusijipe matumaini kwa mambo ambayo hayapo ♧ Deni la taifa lipo juu na linazidi kukua kila siku kutoka asilimia 28 hadi 40 kwa miaka minne tu ♧ pamoja kuwa na rasilimali nyingi lakn bado tunategemea misaada kutoka nje...
  19. Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…