ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    SI KWELI Dkt. Gwajima amesema Kumusahau Polepole Ni Ngumu Maana Alikuwa Rafiki wa Kweli

  2. jamaikatz

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee

    Hakuna kitu ngumu kama kuanza mahusiano mapya aisee
  3. Just Pray

    Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  4. M

    Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  5. Vien

    Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  6. jamaikatz

    Kufanikiwa itakuwa ngumu

    Bodaboda Bajaji Dereva wa magari Saidia fundi n.k. Suala la kuwa tajiri au kufanikiwa na kuenjoy matunda mpaka uzeeni , ni ngumu sana ,hizo kazi ukilala kitandani mwezi mzima Kwa maradhi lazima urudi nyuma hata ulivyo nunua unauza
  7. I

    Tetesi: Aziz Ki Ngoma ngumu kwa waarabu, atajwa kurejea Yanga

    Aziz K Atajwa Kurejea Yanga Baada ya Haya Kutokea Kwa Waarabu. Makala hii inachambua hali ya wachezaji wa Yanga SC wanapojaribu kutafuta mafanikio katika ligi za Kiarabu, kwa kuangazia mfano wa kiungo mshambuliaji Stephen Aziz Ki. Hoja kuu ni kwamba changamoto wanazokutana nazo mara nyingi...
  8. Zee la madawa

    Ni ngumu kumpata bikra Kanda ya Ziwa, sijui wana shida gani

    Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu kumpata bikra kanda ya ziwa hasa hasa akina mwanike wanyamwezi atleast ni rahisi na wanyaturu ni rahisi...
  9. Mshana Jr

    Ilivyo ngumu kuvunja maagano na viapo katika koo na familia

    Naileta mada hii kutokana na mwenzetu mmoja ambaye tulijadiliana naye! Hivyo naomba pia niwashirikishe nanyi kwakuwa pengine na kwa vyovyote wahitaji wapo Tunapokuwa wakubwa na kujitambua huwa kuna vitu tunaviona sio vya kawaida kwenye ukoo na hata kwenye familia. Na mara nyingi vitu hivyo...
  10. ELI COHEN

    Mourinho: "ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi"

    Anaendelea kusema: "Ninaendelea kusema kwamba ni vigumu kuwa Cristiano kuliko kuwa Messi. Messi alikulia katika timu anayochezea, pamoja na wachezaji wenzake anaocheza nao. Cristiano alitoka Uingereza hadi kwenye timu iliyokuwa ikifeli. Ilimbidi akue katika miaka 2 ili wakati timu ikiwa...
  11. K

    Benki Kuu inafisha ukweli? ‘Kusawazisha mizani’ ndiyo nini?

    Bank kuu sio kijiweni kuna utaalamu wa kufanya mambo. Hakuna kitu kama kusawazisha mizani yaani bank kuu inanunua gold sasa kusawazisha mizani maana yake ni nini? wanajua kabisa wanaeleza vitu ambavyo havipo kwa lengo ya kuuza gold bila watanzania kujua idadi maalumu na bila kukubali wanauza...
  12. M

    Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  13. ERTUGRUL BEY

    Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  14. A

    KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

    Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
  15. A

    KERO Ukipoteza au ukitaka kurekebisha cheti chako cha Chuo cha Stella Maris (Tawi la SAUT - Mtwara) ni ngumu kufanikiwa

    Huku kwetu Mtwara, kuna changamoto inayowakuta Wanafunzi wa Chuo cha St. Augustine University of Tanzania (SAUT) Tawi la Mtwara linalojulikana kwa jina la Stella Maris Mtwara University College (STEMMUCO) kutopewa vyeti vyao tena kama vilipotea au inapotokea vina marekebisho. Baadhi ya wahitimu...
  16. DR HAYA LAND

    Kuna njia mbili za kujifunza katika MAISHA, njia ngumu na njia nyepesi

    KATIKA MAISHA KUNA NJIA MBILI ZA KUJIFUNZA , NJIA NGUMU NA NJIA NYEPESI. Maisha yana mambo mengi sana, binadamu kila kukicha wanakutana na changamoto mbali mbali . ila pamoja na yote , kitu ambacho unabidi kukizingatia unabidi kuwa aware na mambo yanayowatokea wenzako , kuanzia mafanikio yao ...
  17. Kimbesa11

    Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  18. R_Breazy

    Hii hali kwangu ndio ngumu kuliko

    Heri ya siku kuu ya krisimasi ndugu zangu. Hope nyote mko salama Life ni gumu kuzidi kupambana kila siku ila tusisahau kuhusu maua mazuri ambayo mwenyezi Mungu katubariki Tanzania na duniani kote. Hatua zote za kumpata binti kwangu kuna hili moja huwa inanisumbua sana, huwa inanitokeaa hasa...
  19. Fbn

    Nchi ya haiti,polisi ndio chanzo hata ukipeleka jeshi itakuwa ngumu.

    Polisi wa kenya baada kurudi nyumbani kutoka haiti wanakwambia polisi walikosa uhaminifu ile nchi sababu ni wao. sasa wamefikia hatua kuwaua mpaka na familia zao nili nukuu BBC makala hipo. Jeshi la polisi tanzania kumbukeni mna familia na ukoo je mnavyo shindwa kuzibiti na kufanya haya kisa...
  20. ngara23

    WanaCCM mnatupa kazi ngumu kuwatetea, mkitemwa na system yenu chamani

    Mkiwa CCM tukiongelea haki mnatuona mafala Shetani akiwataka na kuwateka mnaanza kutaka huruma yetu wapenda haki na Chadema Sisi kwakuwa ni Watanganyika, nyie ni wenzetu tunawatetea tu 1. Polepole Alikuwa mwenezi wa CCM ila Sasa katwekwa, hakuna mtu wa CCM anayeshiba ufisadi ana habari nae 2...
Back
Top Bottom