Nawasalimu kwa jina la Engonga Baltazar.
Mwaka 2017 nipo advance nilitoroka skul nikaenda kukesha kwenye mwenge, napenda sana muziki na nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba ila sjui vimepotelea wapi nimebakiza kuimba tu labda.
Kulikuwa na mziki unarindima so mchezo, mida ya saa tano...