ngozi

Chimamanda Ngozi Adichie ( (listen); born 15 September 1977) is a Nigerian writer whose works range from novels to short stories to nonfiction. She was described in The Times Literary Supplement as "the most prominent" of a "procession of critically acclaimed young anglophone authors [who] is succeeding in attracting a new generation of readers to African literature".Adichie has written the novels Purple Hibiscus (2003), Half of a Yellow Sun (2006), and Americanah (2013), the short story collection The Thing Around Your Neck (2009), and the book-length essay We Should All Be Feminists (2014). Her most recent book, Dear Ijeawele, or A Feminist Manifesto in Fifteen Suggestions, was published in March 2017. In 2008, she was awarded a MacArthur Genius Grant.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii

    Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo: Makundi 4 ya ngozi,jinsi ya kuipima ngozi...
  2. JamiiForums Tanzania Ngozi ya watu weusi zinachelewa kuzeeka kulinganisha na ngozi za wazungu

    Ngozi ya watu weusi inachelewa kuonyesha dalili za uzee ikiwemo kukunjana. Hii ni kutokana na maumbile yetu. Tukiweza kuimarisha huduma zetu za afya tunaweza kuishangaza dunia kuweza kuishi kufikia miaka 150. Aging Differences in Ethnic Skin Neelam A. Vashi, MD, Mayra Buainain De Castro...
  3. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu imekagua mradi wa bidhaa za ngozi eneo la Karanga, Moshi

    Ofisi ya Waziri mkuu imeziagiza Jeshi la Magereza nchini na Mfuko wa hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF),zinazotekeleza kwa pamoja mradi wa zaidi ya shilingi bilioni 75 wa kiwanda cha bidhaa za ngozi eneo la Karanga,Moshi,Mkoani Kilimanjaro,ambao umefikia asilimia 95 kuhakikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hawa tangu zamani za mababu kuna imani, ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yaani Albinism, wakifa ni kweli miili yao inapotea? au haionekani?

    As mentioned above, je ni kweli kuwa hawafi bali hutwaliwa? au hupotea? ni nanai kati yetu humu amewahi kuhudhuria mazishi ya albino, mbali na wale wanaofanyiwa ukatili wa kutisha? nimeuliza hili swali Africa kusini yote! jibu ni hawajawahi kushuhudia mazishi ya albino! Je ni kweli...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngozi ya mamba

    Ndugu zangu! nafikiria kuanza biashara ya kuuza ngozi ya mamba nchi za nje! Mimi ni mwenyeji wa kutoka wilaya ya Ludewa ziwa nyasa. Mwezi wa kumi na mbilli nilikwenda likizo ziwani na kushuhudia vifo vya watu zaidi ya watatu wakiliwa na mamba hapo kwetu. Nilifanya utafiti mdogo na kuona kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo, hasa ng’ombe

    Serikali imewakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao hasa ng’ombe kwani kufanya hivyo kunashusha thamani ya ngozi za Tanzania, na badala yake imewataka waweke alama za hereni kwenye masikio ya mifugo yao ili kulinda ubora wa ngozi za mifugo yao. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu...
  7. JamiiForums Tanzania Jifunze kutengeneza lotion nzuri kwaajili ya ngozi

    Habari zenu warembo na watanashati wa jukwaa letu pendwa la urembo mutindo nk. Kutokana na maombi mengi ya uko PM ya waungwana wenzangu kutaka kujua namna ya kutengeneza lotion nzuri za kuipa ngozi weupe nikaona sio mbaya kama nitaleta uzi wenye kuelezea namna ya utengenezaji lotion yenye...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown)

    Rangi ya ngozi ya Adam ilikuwa reddish-brown (kama mfinyanzi wa reddish-brown). Rangi ya ngozi ya Ham ilikuwa ni nyeusi. Rangi ya ngozi ya watoto wa Ham (Cush, Mizraim, Phut na Caanan) ilikuwa ina range from nyeusi sana to nyeusi maji ya kunde. Waisraeli wa zamani walikuwa watoto wa Shem...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

    Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu inahitaji matunzo ili iweze kuwa na afya na mvuto wake wa asili. Ngozi isipotunzwa vizuri huweza kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Wachuna Ngozi

    Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia. Jamaa wa kwanza akasema ye aomba auliwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…