Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
52,013
114,360
Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.

1625748033919.png

FANYA YAFUATAYO:
Tengeneza juice ya carrot ukiweza mix embe na watermelon Ila carrots juice ndiyo inatakiwa iwe na nguvu. Ukiweza tumia asali au weka kiasi kidogo sana cha sukari.

MATUMIZI:
Kunywa gass moja pale unapohisi kwenda kulala (before bed time).
Asubuhi pia kabla ya breakfast table.

MATOKEO:
Baada ya week na siku kadhaa.
Ngozi kuwa nyororo, nzuri kama ya hako katoto halikojifungua.

MUHIMU: Ukishindwa nitafute -Andaa na Ada ya darasa!!.
 
Na kwasie ngozi yenye mafuta unatusaidiaje?
 
Wauza vipodozi pale mwenge wamechemka siyo? Ahahahaaaa.
Na kwasie ngozi yenye mafuta unatusaidiaje?
MATAYARISHO:
Kwa kuanzia; Maji ya limao au maganda yake ya juu changanya na chumvi kidogo.
Maji ya uvuguvugu.
MATUMIZI:
Baada ya kuoga pakaa kwa uso then iache hapo 10mins kisha safisha uso mwa maji yako ya kuchemsha yaliyo uvuguvugu.
PIA maji yako ya kunywa wakati huu wa joto ni moto pia.

MUHIMU: Ukishindwa anicheck na Andaa ADA ya darasa.
 
Wauza vipodozi pale mwenge wamechemka siyo? Ahahahaaaa.MATAYARISHO:
Kwa kuanzia; Maji ya limao au maganda yake ya juu changanya na chumvi kidogo.
Maji ya uvuguvugu.
MATUMIZI:
Baada ya kuoga pakaa kwa uso then iache hapo 10mins kisha safisha uso mwa maji yako ya kuchemsha yaliyo uvuguvugu.
PIA maji yako ya kunywa wakati huu wa joto ni moto pia.

MUHIMU: Ukishindwa anicheck na Andaa ADA ya darasa.
Hiyo natakiwa kufanya kwa muda gani? Au ni unlimit
 
Pia unaweza paka urojo wa papai kbl ya kulala ikauke uoge asb utangaa... kunywa maji mengi acheni ile mambo ya mzazi asinywe maji chango litaamka hapaana maji hata lita 5 ukiweza kunywaa. Tumia asali ktk vitafunwa,parachichi,vegetable supu hii unachemsha green vegetable kama mchicha haswa unatia karoti kidogo kitunguu na tuchumvi kwa mbaali na ni mchemsho usitie mafuta daily bakuli 1. Epuka kuoga maji ya motooo mtindo wa zamani wee ni unywe vitu motoo si kuoga ya motoo.

Mafuta tafuta lotion ya brons kwa hapa Ar ni 18,000-20,000 Mume akiweza asikuguse miezi 3 au 6 na Hapo uhakikishe unstulia ndanii kama mume kashndwa zile zenu za 40 basi na uwe makini maana hedhi yaweza kuwa imechelewa jpo yai lililokomaa lipo na huo mvuto utakaopata kutoka na mimba ingine si ajabu wee ukisubru hedhi wkt mwana mwngne anakuwa.

Wkt wa uzazi na ujauzito jitahd saana kula matunda natural na mbogamboga usisahau maziwa ya chai na mtindi pia ni mzr japo siku za kwanza mwana atahrisha ila si ugonjwa.

Kingine suka nywele zako vzr style isiyosumbua ukiwa ndani na kama wa kuzitia dawa zingatia na wkt wa kulala kitambaa ni muhmu usizisugue direct kitandani zitachokaa na kukatika na usiache kuztia mafutaa zsikaukee ngozi wala nywele. Ukzizembea zitachokaa na kuanza kungooka usingizie etii ni kunyonyeshaaa.... wee nani kakwambia kunyonyesha ni dhambi!
 
Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.
662c0bb049202e69d9d9dbcadebc7dde.jpg

Tumia hiyo product ndugu haina Hydroquinone wala Mercury
 
Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.
Naona umeishakuza asee,ushapata mjukuu...
 
Back
Top Bottom