RAIS SAMIA ANACHEZA NGOMA ISIYOKUWA YAKE
Katika historia ya Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa kipekee aliyeingia madarakani si kwa matakwa yake binafsi, bali kwa matokeo ya kikatiba kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Pombe Magufuli. Kwa kinywa chake mwenyewe, Samia aliwahi...