Yanga bingwa
Mwenye CV yake tafadhali.Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
LONDON BOY
Team gani hiyo? Hata Vicent Company aliishusha daraja Bunley, ila aliteuliwa kuwa kocha wa Bayern Munich na bado ameendelea kuipa mataji lukuki.Nasikia team aliyotoka imeshuka daraja