Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda , sloslow ana pdf ya taarifa zote jinsi nchi hii inavyonajisiwa kwa kivuli cha mama anaupiga mwingi ...
GT
Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out.
Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu
CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge.
Kumekuwa na mvuragano mkubwa miongoni mwa wanachama kuhusu uongozi wa Simba, kuna wanaotetea uongozi...
Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?
Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi.
Badala yake bungeni...
Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free
Zinaitwa floating stairs
Zikipigwa finishing hapo utazipenda
HUDUMA ZA UJENZI NA USANIFU MAJENGO*
📌 Ramani za Nyumba za Kisasa
Tunachora ramani za nyumba za kisasa kulingana na mahitaji yako.
📌 Usanifu Majengo (Architectural...
Kama unataka ngazi za kisasa zinazojulikana kama floating stairs nichek
Sikuhizi ushindwe wewe tu mafundi Tz wapo 0743 257 669
Ufundi 600,000 kwa nyumba za makazi material utanunua mwenyewe 0743 257 669 tupo ukonga dsm
Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
Jengo jipya hapa msibani zamani DDC wamejenga ngazi mpaka eneo la watembea kwa miguu hivyo kusababisha watembea kwa miguu kupita eneo la barabara jambo ambalo ni hatari.
Anonymous
Thread
barabara
eneo
jengo
kusababisha
miguu
mpaka
msibani
ngazi
watembea kwa miguu
zamani
Si kwamba elimu ni useless, hapana. Elimu ni very potential asset lakini inapokaa kichwani mwa mtu na haina impact hiyo elimu ni useless.
Kupoteza muda na fedha tu.
Sasa una degree ya miaka 3 au 4 then unakuja kulowea kwenye bodaboda hiyo elimu ni useless. Umeitia serikali hasara kwa...
Kumbuka, umekuwa ukijulishwa vitu vingi; umekuwa ukipewa taarifa nyingi kabla ya wewe kutenda au kutendewa chochote. Umejiaminisha kuwa hakuna kitu chochote kibaya au kizuri kitakachokupata bila wewe kuwa na taarifa ya mapema.
Lakini, wakati wako wa kuaga dunia ukifika—muda wa kufariki...
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
Hii Africa Energy Future Summit inatuonyesha umakini wa viongozi wetu. Mmojawapo ni Mheshimiwa Dr Dotto Biteko (PhD) huyu kiongozi ni hazina ya mbeleni. Ana utulivu wa kiuongozi na elimu pia ipo
Asante.
https://www.youtube.com/watch?v=o6bgARGZYwg
Dr Mwigulu atakua kwenye PANEL, tusikilize...
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.