new habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MNGONI ORG

    WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA NEW HABARI (2006) LTD WATOA SIKU 14 KWA MFANYABIASHARA ROSTAM AZIZ KULIPA MAFAO YAO

    WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA NEW HABARI (2006) LTD WATOA SIKU 14 KWA MFANYABIASHARA ROSTAM AZIZ KULIPA MAFAO YAO Na Andrew Chale, Dar es Salaam. WAFANYAKAZI zaidi ya 200, Waliokuwa wakifanyakazi katika kampuni ya New Habari (2006) Ltd, wametoa siku 14 kwa Mmiliki wa Kampuni hiyo, Mfanyabiashara...
  2. Fred Katulanda

    Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
Back
Top Bottom