neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  2. Neno au jina "tapeli" lilitokea wapi?

    Bila shaka wengi wetu tunalifahamu na kulitumia neno/jina hili.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lilichomoza tu na kupokelewa na jamii, na halikuwa neno/jina rasmi kabla kama ilivyo kwa baadhi ya maneno mengine.Tupo tunaoamini kuwa neno hili lililetwa na Vijana Jazz/Hemed Maneti kupitia wimbo wa...
  3. Ijue maana halisi ya neno "Kanisa"

    Ukipita huku na kule utaona vibao vimeandikwa: Kanisa la Anglikana, Kanisa Katoliki, Kanisa la Baptist, Kanisa la EAGT, Kanisa la Pentekoste, Kanisa la SDA n.k. Je, hiyo ndiyo maana halisi ya neno “Kanisa” kama ilivyokusudiwa katika Biblia? Je, Kanisa ni jengo au taasisi? Ili kuujua ukweli, ni...
  4. Wassira sema neno Sakata ya Gwajimanization!

    Makamu umenyuti Sana hatujakuzoea hivyo tafadhali okoa jahazi vinginevyo Askofu hana dogo huyu
  5. Hii ndiyo maana ya neno Ponjoro

    Kwanza nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Pili nikiwa kama msomi wa vyuo mbalimbali ndani na nje ya nchi ya Tanzania, nimepokea na kukubali jina la Ponjoro wa Kinondoni. Maana ya Ponjoro ni Chotara au Shombe shombe. Weka mkeka wako mpe ushindi Pyramid namaanisha...
  6. Audio: Pata tafasiri halisi na Maana ya Neno "Gwajimanization"

    GT Sukikiza hii hapa mpaka mwisho..Mkuu.wa Nchi awe anachunga sana kauli.zake kwa umakini Mkubwa.
  7. Kama Hili Ndio Neno Kalitamka Mh. Rais, Basi Hii Ndio Maana Yake...

    Majdhub ni taahira
  8. Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  9. Elewa neno alilotumia Rais Samia "Kiumbe"

    Kwa wanazuoni na wajuzi wa mambo huwa tunasoma mstari kwa mstari katika kila tamko la kiongozi. Mhe.Rais Samia ametumia neno moja muhimu sana kwenye mojawapo ya speech yake. "Hakuna kiumbe atakayeruhusiwa kuichezea amani ya Tanzania kwani ameapa kuilinda Tanzania" Ewe mwanaJF, Mtanzania...
  10. Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  11. Ipi tafsiri yako ya neno " Kuvuruga amani" ?

    Kuna tafsiri nyingi ya neno hili lakini tafsiri hutofautiana kutokana na mtu anayelitamka. Kuvuruga amani maana yake ni kitendo cha kuwafungua akili wananchi na kuwaeleza kuwa rasilimali zenu zinaliwa na watu wachache amkeni. Yes, wakiamka kwa mazingira hayo amani haiwezi kutulia lazima...
  12. Kuna waswahili wana matumizi potofu na hovyo sana ya neno "dhidi"

    Huwa nikawasikia wanasiasa wakizungumza kwa ujasiri sana serikali inapambana "dhidi" ya maendeleo ya raia wake, wananchi wana imani "dhidi" ya vyombo vya dola, raia wana ushirikiano mzuri "dhidi" ya serikali n.k Juzi nimemsikia gavana wa Arusha anasema wananchi wana imani "dhidi" ya jeshi lao...
  13. Ushawahi zurura kweny simu yako ukakuta neno "NFC" au watumia infinix okay

    USHAWAHI ZURURA KWENY SIMU UAKO UKAKUTA NENO "NFC" 🥲 AU WATUMIA 😂 INFINIX okay NFC NI KIFUPI CHA (Near Field Communication) NFC ni teknolojia ya wireless communication inayoruhusu mawasiliano kati ya vifaa viwili vilivyo karibu (karibu cm 4–10). Inatumika wapi? Kufanya malipo (e.g...
  14. Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  15. Ushauri wa bure kwa dada yangu Dr Tulia, epuka mizaha na Neno la Mungu.

    Kwa wakristo, tunaamini Neno la Mungu linapokujia ni vema kulitia moyoni na kulitafakari. Kulifanyia mizaha ni kufuru, ambayo madhara yake hayatambulikani. Zaburi 1: 1-2 Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa...
  16. M

    Nahitaji Usaidizi Kujua Neno "solid" kwa kiswahili

    "Solid" ni nini kwa kiingereza?
  17. Kwa wale Mliokuwa mkitaka kujua Tafsida ya neno Kujamba / kwa Kiswahili Fasaha hili hapa

    Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
  18. Kwa nini neno HAKI limekuwa Gumu kutamkwa Midomoni mwa wana CCM?

    GT Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao. Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
  19. Neno "tutakinukisha" ndiyo tayari kimeshanuka ,media kubwa duniani mabalozi ,wawakilishi wa umoja wa mataifa! Wafadhili wote waifuatilia kesi ya lisu

    Labda neno kitanuka kwa tafsiri ya CCM ni kubeba bunduki na kuingia mitaani kupigana ,lakini ukweli ni kwamba tayari kimenuka ! Mataifa yote yaliyokuwa yanaamini Tanzania kuna demokrasia na haki ,wanashangaa wananyimwa hata haki ya kuingia mahakamani ! Mahakama inazingirwa na vikosi vya jeshi ni...
  20. B

    Neno lako ni Upanga — Kiwango halisi cha Christo Frequency

    Katika viwango vya siri vya mafundisho ya zamani, tulifundishwa kuwa: "In the Beginning was the Word, and the Word was God." (Yohana 1:1) Lakini si kila mtu ataelewa ufunguo wa ndani wa mstari huu. Neno halikuwa tu sauti — Neno lilikuwa Frequency ya Uumbaji katika ulimwengu huu. Christo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…