Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi.
Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa mara ya kwanza nimeliona humu, na kuna ile mtu akiposti uongo watu wanasema "Chai", nani...