Mbunge Igunga Atoa Neno la Shukurani Msibani

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938
đź“Ť Igunga, Tabora

"NENO LA SHUKRAN"

Tunatoka shukrani zetu za dhati kwa Wakazi wa Jimbo la Igunga na Wananchi waliotoka maeneo mbalimbali kushiriki nasi kwenye Dua na Mazishi ya Mzee wetu Saleh Amor, (Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mstaafu Wilaya ya Igunga) na Baba Mzazi wa Nassor Saleh Amor, Katibu wa Mbunge Jimbo la Igunga.

Hatuna cha kuwalipa kama Binadamu, lakini Mwenyezi Mungu atawalipa kwa neema na thawabu zake.

Aidha Tunashukuru kwa salaam za pole na rambirambi kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya Nchi na nje ya Nchi. Tuendelee kumuombea Mzee wetu Mwenyezi Mungu amrehemu apumzike kwa Amani.

Innalillah Wainah Ilayh Rajiun

Nicholaus George Ngassa
Mbunge wa Jimbo la Igunga
28 Aprili, 2023

WhatsApp Image 2023-04-28 at 09.33.35.jpeg
WhatsApp Image 2023-04-28 at 09.33.52.jpeg
WhatsApp Image 2023-04-28 at 09.34.02.jpeg
WhatsApp Image 2023-04-28 at 09.33.55.jpeg

WhatsApp Image 2023-04-28 at 09.33.47.jpeg
 
Back
Top Bottom