neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Neno la Mufti wa Oman kuhusu Sweden

    Neno la Mufti wa Oman Samaahat Sheikh Ahmad Bin Hamad Al-khalil (Rahimahullah), kuhusu Sweden
  2. M

    Mwanasheria wetu Nguli Hashim Rungwe, sema neno kuhusu mkataba wa bandari nyoyo zetu zipone!

    Kwako mzee wetu Hashim Rungwe. Shikamoo. Hivi sasa nchini mwetu kuna mjadala mzito sana wa mkataba wa bandari. Mjadala huu umewahusisha wananchi wengi wakiwemo wasomi na wataalamu wa sheria, wansnchi wa kawaida n.k Sehemu kubwa ya wananchi, wanapinga mkataba huu kuwa in a long run ni kitanzi...
  3. Njoo useme neno

    Habari za jioni wakuu! Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss. Naomba msipite bila kusema neno hapa, Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga...
  4. Mtaalamu ashauri baadhi ya ibara ndogo katika ibara ya kwanza zifutwe kwenye mkataba na DP-World

    Ibara ya 1 ya makubaliano na serikali ya UAE kinatoa kwanza tafsiri ya maneno yaliyotumika kwenye mkataba. Neno “Project Company” limeandikwa kuwa litamaanisha DP-World au kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania (ikiwa ni Kampuni Tegemezi ya DP-World) ambayo imeingia Mkataba wa Mradi kwa ajili ya...
  5. Nape Nnauye: Mwenyezi Mungu ameamua ugomvi

    Picha: Nape Nnauye Habarini JF GT! Jana wakati Membe akirudishiwa kadi ya CCM, Mbunge wa Mtama na Wazari wa Habari nchini aliongea kauli mbaya Sana Na Yenye kufedhehesha kwa Marehemu. Kwa tamaduni za kitanzia Sio sawa kumsema Marehemu, na hata Ukitaka kumsema Marehemu utamsema kwa Mazuri...
  6. Tuache kutumia neno sukuma gang kwasababu ya aliyoyafanya Magufuli ambae hakuwa Msukuma

    Ndugu zangu naomba tuache kutumia hii phrase ya sukuma gang ni kweli magufuli alifanya mambo ya hovyo sana katika historia ya nchi yetu na ndipo waungaji mkono wake (wema kwa wabaya) wakaitwa sukuma gang lakini honestly magufuli sio Msukuma kwa kabila hivyo tuache kuwanyanyapaa wasukuma kwa...
  7. Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  8. Neno 'Nakupenda' kwa Lugha ya kwenu linatamkwaje?

    Jamani neno NAKUPENDA kwa kilugha cha kwenu mnasemje andika hapo tujue taja na kabila NDIHUDOBOHA -Kibena hicho kwa kule kwetu wewe je
  9. R

    Matumizi ya neno KUWEZA kwenye vyombo vya habari yamekaaje?

    Ukisikiliza vyombo vya habari vikiripoti matukio ya vifo au majeruhi utasikia Kwa mfano " watu wawili wameweza kupoteza maisha" au " mtu mmoja aliweza kujeruhiwa". Haya ni matumizi sahihi ya kitenzi hiki? Nimejifunza lugha za mataifa mengine na msaada mkubwa kwenye kujifunza ilikuwa kusikiliza...
  10. Fahamu historia ya neno "Bluetooth"

    HISTORI YA NENO BLUETOOTH. Teknolojia tunayoijua kama Bluetooth imepata jina lake kutoka kwa Harald Bluetooth, mfalme wa Viking aliyeaga dunia zaidi ya milenia moja iliyopita. Kama vile alivyounganisha vikundi vya Denmark na Norway, teknolojia ya Bluetooth inaunganisha vifaa mbalimbali vya...
  11. M

    Hivi neno "Uchwara" ni Lissu alilianzisha?

    Mzuka wana JF! Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe. Moja kwa moja kwenye mada. Hivi hil neno la kiswahili UCHWARA mwanzilishi ni brother Tundu Lissu...
  12. Neno mswahili wewe unalitafsiri vipi?

    Morng Africa Ukilisikia neno mswahili kwako unapata maana gani yaani ukisikia mtu anaitwa mswahili ni picha gani inakujia juu ya mtu alie itwa mswahili
  13. B

    DC Ileje atoa neno kwa Wafanyakazi na shukrani kwa Rais Samia.

    Salamu za Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe. Farida Mgomi
  14. Mbunge Igunga Atoa Neno la Shukurani Msibani

    📍 Igunga, Tabora "NENO LA SHUKRAN" Tunatoka shukrani zetu za dhati kwa Wakazi wa Jimbo la Igunga na Wananchi waliotoka maeneo mbalimbali kushiriki nasi kwenye Dua na Mazishi ya Mzee wetu Saleh Amor, (Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi...
  15. Nani mwanzilishi wa neno 'mbususu' humu JF?

    Sina muda mrefu toka nimejiunga humu, kitu nilichogundua humu Jf kuna misamiati inayotumika humu inafurahisha sana ambayo kuisikia sehemu nyingne ni kazi. Mfano 'kuchakata mbususu', hili neno kwa mara ya kwanza nimeliona humu, na kuna ile mtu akiposti uongo watu wanasema "Chai", nani...
  16. TUONGEE KIUME: Neno mwanamume linavyotuumiza wanaume

    Ulipokuwa mtoto, ukiumia, ukaanza kulia, kama utabahatika kuambiwa pole basi neno litakalofuata litakuwa ni “Nyamaza, wanaume hawalii.” Labda waliotulea walikuwa na maana nyingine, lakini iwe kwa kujua au bila kujua na sisi watoto wa kiume tumeelewa kuwa walikuwa wanamaanisha mtoto wa kiume...
  17. B

    UVCCM Songwe yatia neno mikopo ya Vijana kusitishwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Songwe Ndg Fatuma Hussein amewatoa hofu vijana kutokana na serikali kusitisha utoaji wa mikopo ya 10% iliyokuwa ikitolewa katika ngazi za Halmashauri. Fatuma ameleza kuwa kama UVCCM wanaamini kuwa serikali itakuja na mpango bora zaidi wa...
  18. Kama huna cha kucomment ni bora upite tu. Kwani umeambiwa ni lazima kutia neno?

    Ifike mahala tujiheshimu kisha tuheshimiane sisi kwa sisi. Mbona tunakuwa na tabia za kimasikini kana kwamba hatumiliki ma Range humu ndani? Unakuta jitu linaingia M.M.U linakutana na nyuzi za kuzagamuana, linaamua kujaa sumu. Kwa hiyo ulitegemea ukutane na uzi wa report ya C.A.G? Shwain. Bila...
  19. Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English. Karibu +++++++++++++++++++++++++++++++++++++ If we don't change, we don't...
  20. R

    Tundu Lissu arejea Nchini asema ripoti ya CAG ufisadi ni uleule, mambo ni yaleyale

    Mwandishi: Ripoti ya CAG imetoka na majibu ya Rais ni kwamba waliofanya madudu wampishe. Unadhani hiyo ni kauli ya kitendaji au ya kimamlaka? Lissu: Kwanza wizi na ufisadi ni ule ule wa miaka yote, kama haujaongezeka, ninachosoma ni kwamba umeongezeka. Wizi ni ule ule, wa watu wale wale, wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…