neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. Stuxnet

    Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  2. ELI COHEN

    Yani mtu anadhani akikuita kafir eti ndio amekuweza😁, no bro, kwanza hata hatujui neno linamaanisha plus ni compliment maana umenitofautisha na wewe

    "Tatizo wanadamu wa siku hizi ni wabishi sana" by smart 911
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  4. R

    Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

    Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi. Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa. Nj hayo tu.
  5. Mhaya

    Asili ya neno "Bodaboda"

    Unajua watanzania wengi wakisikia neno Bodaboda wanajua ni neno lenye chimbuko la Kiswahili au lililoanzishwa Tanzania. Lakini si kweli Neno “bodaboda” halikuzaliwa Tanzania —lilizaliwa mpakani. Hapo zamani kidogo, miaka ya 1960–70, mpakani mwa Kenya na Uganda, kulikuwa na usafiri wa baiskeli...
  6. NostradamusEstrademe

    Kuitwa hili neno sio tusi. Dini zetu zote tupendani tunamuabudu Mungu mmoja tofauti ni njia za kuabudu

    Jana nilikutana na raia mmoja wa Misri akanifafanulia mambo ambayo sikuyajua. Mimi kwa mawazo yangu nilidhani hakuna wakristo Misri ila aliniambia wapo wengi tu japo idadi kubwa ni waislam na yeye mwenyewe ni mkristo. Akaniambia hata Iraq kwenyewe kuna wakristo hata Tariq Azizi aliyekuwa waziri...
  7. Pakome

    Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

    Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha...
  8. The Burning Spear

    Hakuna neno CCM Mtasema kwa sasa Watanzania Tukawaelewa

    GT maCCM mnapoteza mda kujinadi kwa.maneno ya kwenye kanga watz wana hasira sana na ninyi. Hakuna neno mtakalosema mkaeleweka matendo yenu ndiyo yatakayoamua hatima yenu. Tuna.hasira sana hii M029 imetuachia majonzi makubwa hayatasahaurika kamwe mioyoni mwetu na hatutawasemehe kamwe.
  9. Godoro la kioo

    Nalo neno

  10. K

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!!

    Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
  11. DuaZaMama

    Ni neno gani la Kiingereza linalokupa shida kulitaja?

    Wakuu, kama tunavyojua kila mtu anatoka katika mazingira tofauti na amejifunza Kiingereza kwa namna yake. Je, ni neno gani la Kiingereza ambalo mara nyingi linakupa ugumu kulitaja au kulitamka kwa usahihi? 😊 Mimi neno linalonipa shida ni “entrepreneur”.
  12. Bawabu wa pili

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa? Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
  13. BIG BROTHER ALEX

    Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

    Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
  14. A

    Mwenye neno lolote tupia hapa kuniponya

    Kwa mara ya kwanza tangu niifanamu jf ndio ninaandika post, samahani kwa uandishi mbaya. Kilichonisukuma kuandika hii post ni kwamba nimepoteza pambona la maisha na hata nafasi yangu inanishuhudia hilo. Nimepitia Mikasa Mingi sana hapa duniani tangu utoto wangu, nimepambana vya kutosha bila...
  15. W

    Neno la Mwaka 2026 kutoka kwa Asofu Gwajima

    Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
  16. Ricky Blair

    Je wajua asili ya neno Punyeto?

    Asili ya neno punyeto Neno punyeto katika Kiswahili linamaanisha kujichua / kujichezea sehemu za siri. Asili yake Punyeto limetokana na Kireno (Portuguese) Neno la asili ni punheta, ambalo pia linamaanisha masturbation kwa Kireno. Jinsi lilivyoingia Kiswahilini Wareno walifika na kutawala...
  17. S

    Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko. Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
  18. Sifi Leo

    PostGE2025 Rais niamini Mimi amani hulindwa na walioshiba, wenye NJAA hawaelewi, waliomwambia mbunge hawataandamana, wamemalizia na neno "Tuna NJAA"

    Najiuliza Mzee kikwete yupo kweli? Butiku je? Warioba je? Peter msigwa je?😂😋🤣? Yule mjaruo Koko, Wenje je? Hivi peter msigwa na wenje mnaweza vaa mashati ya ccm Leo hii mkaitisha mikutano majimboni MWENU Leo hii?🤣😋😂? Sio agenda yangu asubuh ya Leo ya mwezi mpya. Mh RAIS, watu hawataki...
  19. a sinner saved by Christ

    soma neno la Mungu

    Luka 12:2 TKU Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. Yn 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. https://youtu.be/dLi_y9V7uDA?si=7SkTesk8pOeIV6LI
  20. Sumbaye

    Wanaharakati wakubwa wa haki walikuwa mitume, neno wanaharakati lisitumike vibaya

    Nimeona maoni watu wengi juu ya neno mwanaharakati na matumizi yake. Neno mwanaharakati linatumika kujenga taaswira mbaya juu ya jitihada wapigania haki za watu. Mwanaharakati ni mtu anaetetea aina flani ya mtizamo na kupinga kila kilicho kinyume chake. Kwa Maana hiyo mtu yeyote mwenye...
Back
Top Bottom