Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?
Hii ndio inayotambulika
Hapa ikitumika
Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
👆🏾👆🏾 hiyo kwenye jukwaa ni ipi...