Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...