ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natumiwa sana na ndugu zangu kwenye shida zao. Zikiisha wanapotea

    Yaani natumika sana na watu wanaokuwa na ukaribu na mimi wakihitaji msaada wa kifedha au kihisia Kwa sasa naweza sema ukiacha ndugu zangu, watu wote waliobaki wana ji attach kwangu tuu wakiwa na shida. Kuna mmoja yakimkuta kwa siku utapokea simu zaidi ya kumi, kila mara, akishatatua shida yake...
  2. JamiiForums Tanzania Maana mbaya ya Emojis kwenye Jamii imefanya nikosane na Bebi wangu

    Salamu nishawaachia waswahili! Hii Emoji sijajua kwenu ina maana gani lakini kwangu ninavyofahamu ni Tunda aina ya Fulisi(Mafulisi) au kwa kisorongai uitwa Peach(Peaches). Mimi huwa ni mdau mkubwa sana wa haya matunda,juzi nimeyanunua ya kutosha pamoja na matunda mengine,hivyo sikupata...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini hekima iliyopo nyuma ya ruhusa ya kuoana ndugu?

    Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa, nashukuru imani haijasema kwamba hilo ni lazima. Ningefukuzwa. Hivi hekima haswa iliyojificha nyuma...
  4. JamiiForums Tanzania Uswahilini kumeoza, ndugu yangu alizomewa mtaani kisa kakataa 'tigo'

    Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu. Sasa siku moja tulikuwa tunapita mtaa wa pili kwa mguu nikashituka kusikia wadada wawili watatu...
  5. JamiiForums Tanzania Watu wa Fiji ni ndugu zetu, mila na tamaduni zetu zinafanana

    Niliangalia kipindi kimoja katika luninga, kilionyesha mila na desturi za watu wa Fiji, kwa kweli wale ni wenzetu kabisa. Inasadikia miaka mingi iliyopita, Rufiji kuna watu walisafiri katika chombo kutumia Bihari. Katika safari ile, chombo kilipaigwa na dhoruba kali na kilipotea baharini. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe. Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
  7. JamiiForums Tanzania Ujue mzimu wa Kempanju wa ukoo wa Abashambo wa Kiziba, Misenyi

    Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa). Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya Buyango, kijiji Lwamachu kitongoji Nyakihanga ambapo ndiko haswa nyumbani kwa ayo majina mawili ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  9. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto. Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto kweli ni lake kwa vigezo vyote. Ni jambo gani sahihi kwake anapaswa kufanya juu ya yule mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  11. JamiiForums Tanzania Chadema Taifa kwa sasa haina Umoja, Mpambanaji wa kweli ni tu ndugu Lissu

    Chadema kwa sasa haina taswira nzuri hasa katika ngazi ya secretariat yao, inashangaza kuona jambo muhimu kama amsha amsha ya Ngorongoro aonekane Lissu peke yake. Tunatarajia kamati za juu za chadema kikosi kikamilike kwenye ziara ya maeneo nyeti ya jicho la Dunia hapa Tanzania. Jopo la...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  13. JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Serikali haina fedha ya kuwajengea stendi ya mabasi ndugu zetu nshomile?

    Kuna msemo husema mkaidi hafaidi mpaka siku ya Idd, lakini pia nimekuwa nikisikia kuwa ndugu zetu nshomile hujifanya wajuaji wa kila kitu, lakini pia ni wabinafsi kupindukia..je? ujuaji wao ndio umefanya serikali iwaache wapambane na hali yao! lakini pia hawa ndugu zetu huko nyuma walikumbwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

    Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four. Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five. Kingine kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Kijana Mpambanaji Oscar Mtweve. Poleni Wanafamilia na Ndugu jamaa wote wa JF

    Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam tunahitaji kubadilika na tubadilike kwelikweli ili tuweze kushinda tunayokutana nayo

    Nimefuatilia sana tunapokutana na wakuu wa nchi, mambo ambayo daima mnayaomba kwao ni dhaifu sana, ambayo ni; 1) Tupunguzieni ushuru wa Tende 2) Tupeni vifaa vya kuona muandamo wa mwezi Bilashaka wakuu wanastajabu lakini wanapiga kimya, watafanyaje sasa maana ndio akili zilipoishia kwenye kuta...
  18. JamiiForums Tanzania Shekhe acharuka Mwamposa kuingiza milioni 900

    Shekhe anadai Mwamposa aliingiza million 900 siku ya mkesha wa chako ni chako katika uwanja wa Mkapa kwa kuuza udongo tu.
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam mtaniwia radhi kidogo

    Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ndugu wa mwanamke mara zote hukaa kwenye familia kuliko ndugu wa mwanaume?

    Uzoefu unaonyesha katika familia nyingi ndugu wa mwanamke ndio anaweza kutoboa na kuishi kwa amani kwenye familia nyingi. Ndugu wa mwanaume ni mara chache sana, tena wanaishi kwa kufosi. Tatizo huwa ni nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…