ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  3. JamiiForums Tanzania NDUGU ZANGU WATANZANIA: Naomba mnisaidie kusikitika ni hili la uwanja wa Taifa.

    SELIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO TANZANIA IMESAINI MKATABA WA UKARABATI WA UWANJA WA TAIFAA. Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaokuja kula Christmas vijijini, zingatieni yafuatayo

    1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 12 jioni baada ya kutoka shamba, acheni shobo. 2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako anaye deka-deka. 3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga, ndoo ya maji kutoka...
  5. JamiiForums Tanzania Wokovu kwa ndugu zangu waislam

    Swali: Je, Uislamu unahakikishia wokovu wa mtu kwa hakika, au kuna kutokuwa na uhakika kuhusu hatima ya mwisho ya kila Mwislamu? Katika Uislamu, wokovu unategemea mizani ya matendo mema na mabaya (Sura Al-Zalzalah 99:7-8). Hata hivyo, hakuna Mwislamu anayehakikishiwa pepo, isipokuwa wale...
  6. JamiiForums Tanzania Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  7. JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zangu Waislam

    Ikiwa Mitume wote walitumwa na Mungu, kwa nini kuna tofauti kubwa kati ya mafundisho ya Yesu (ambaye anatambuliwa katika Uislamu) na Nabii Muhammad? Yesu katika Uislamu anatambuliwa kama mtume wa Mungu lakini mafundisho yake katika Injili (kama vile upendo kwa adui na msamaha) yanatofautiana na...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

    Wakuu Habari zenu. Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki. Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisababisha usihudhurie kwenye msiba wa ndugu yako wa damu?

    Mimi sikuhudhuria msiba wa mtoto wa shangazi yangu kwa sababu alikuwa shoga wa wazi wazi. Wahenga wengi mnamjua aliitwa Auntie Kessy alikuwa maarufu sana hapa mjini Daslam nyumbani kwa wazazi wake ni Tanga. Alipofariki ndugu zake wa kiume karibu wote hawakuhudhuria msiba . Wazazi wake...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mlisema mnataka kucheza na shetani vipi ndugu zetu wa Yanga hali ikoje

    Mlikuwa mnatamba sana hadi mkamkufuru mungu kWa kuomba mechi na shetani, aisee nyie watu wabaya sana, kama sio kutoa sadaka kWa watoto yatima huko Lubumbashi mlikuwa mmeshagawa utamu malayi nyie
  12. JamiiForums Tanzania Ndugu kwa hapa dar es salaam GOMS ndo wapi? Iko maeneo gan? Ni wilaya au mtaa au Kijiji? Au ni behewa la TREN ?

    Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu Mshikaji akaniuliuza bro magari ya...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya Marafiki Ndugu Wawili Waasisi wa TANU

    https://youtu.be/djuL8PYQHMA?si=1e_2imiIOpk3qtC2
  14. JamiiForums Tanzania Vita Kati ya Wakatoliki na Ndugu zao Charismatic

    Kwa Muda mrefu nimekuwa nikiona shida Kati ya Jamii hizi mbili yaan ni Bonge la ugomvi Kanisa limeweka zuio la Mkarismatic yoyote kutokuingia ndani ya Jengo Kupishana kwao kupo wazi. Kanisa linadai lipo sahihi kwa kile wanachosimamia na kukifuata Kama maagizo toka Ufalmeni Charismaz wanapindua...
  15. JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

    Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
  16. JamiiForums Tanzania Injili kwa ndugu zangu waislam

    Quran inasema injili na torati ni neno la Mungu na inakumbusha kuwa hakuna mwanadamu anawezakubadili neno la Mungu. Unaposema Bibliia iliaribiwa unakuwa kinyume na Quran, maana kwa mujibu wa Quran huwezi kuaribu neno la Mungu. Mungu aliumba mwanadamu kwa mfano wake, inaposema Mungu afanani na...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ivi hili inawezekana kwel? Ebu ndugu zangu njooni mtusaidie.

    Kwanz kutanguliza salam kwa kila mwana JF mwenzetu alie humu. Sasa ndugu wana jukwaa kaka yenu, mdogo wenu au rafiki yenu nina jambo langu ambalo limenisukuma mimi kuja hapa kuomba msaada na ushauri wa kitaalam kuhusu mambo fulan fulan ya kiafya. Ndugu yenu nina mwaka mmoja katika ndoa, ila...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu hajibiwi message wala kupokelewa simu zaidi ya kukatiwa tu

    Ni baada ya jana kugombana kidogo na mpenzi wake siku nzima anakatiwa simu mara akipiga anakuta inatumika ila akipiga yeye simu haishikwi Anaomba ushauri mzuri Cha kufanya
  20. JamiiForums Tanzania Ex Mayor Boniface Jacob atoa onyo, Ndugu yako akiitaka vita mpe anachohitaji

    Kumeanza kuchanganka Boniface Jacob mjumbe wa kamati na mwenyekiti wa pwani Chadema lakini pia ni kijana mtiifu wa Freeman Mbowe ametoa onyo. Je unahisi ili onyo limepelekwa kwa nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…