ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua mpo nao tu mitaani watekeni na wao ili tabia hii ikome

    Kama ndugu zenu wanazidi kutekwa na watekaji mnawajua watekeni na wao ili tabia hii ikome. Hatupaswi kuomba ruhusa kwenye masuala ya kujitetea na usalama wetu kama watekaji mnawajua na wanazidi kuwaangamizieni wapendwa wenu na msaada wa kisheria hampati wala nini watekeni na hao watekaji ili...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  3. JamiiForums Tanzania Aziz Ki na Harmonize jifunzeni kwa Diamond jinsi ya kutunza ndugu zenu. Miaka yote ulimficha mama yako sababu amechakaa

    Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo adondike,alikuwa akiishi uswazi mwananyamala kisiwani,nyumba imechokaaa. Aziz Ki mjinga sanaalimficha mama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dini ni ugonjwa wa akili, unaweza ukakufanya ujione tofauti na ndugu yako wa Damu

    Tarehe 26-May ni siku ambayo Wayahudi wanasherekea kuukomboa mji wa Yerusalem Mashariki ya kati, Wale wayahudi wenye itikadi kali hutumia siku hii kupita katika Nyumba, maduka ya Waarabu na kuwadhihaki na kuwafanyia fujo. Tazama video na Picha hapo chini...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  6. JamiiForums Tanzania Martha Karua na Falsafa ya Wagombanapo ndugu!

    Adabu. Niruhusuni mimi nitumie neno "kiasi" kuelezea utovu wa adabu na ukosefu wa nidhamu wa kuingilia mambo ya kifamilia ya familia nyingine na kudai hiyo ni "haki". Kuna tofauti kati ya upumbavu na hekima na yaonekana baadhi yetu somo hili bado ni gumu kwetu. Moja ya tabia za wakoloni wa babu...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar naye Jana aliangamizwa!!!

    Mdogo wa mwisho wa Yahya Sinwar na Mohamed Sinwar Zacharia Sinwar ambaye alikuwa Professor katika chuo kiislamu huko Knan Younis naye jana alilazimishwa kuwafuata ndugu zake walioangamizwa na majeshi ya Israel. Zacharia Sinwar aliuwawa jana na mashambulizi ya ndege yaliyofanywa huko Khan...
  10. JamiiForums Tanzania Usitegemee Ndugu: Watakumaliza Kisaikolojia na Kukuteka Kimaisha

    Kuna jambo moja watu wengi huchukulia poa hadi wapitie wenyewe: msaidizi wa karibu sana anaweza kuwa mtesi wako mkubwa kuliko hata adui wa mbali. Ndugu zako—wale mnaoshiriki damu moja—wakiamua kukusaidia, mara nyingi wanakuwa na hidden terms and conditions ambazo hawazisemi hadharani, lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu wa damu wa Yahya Sinwar leo naye Ameangamizwa!!

    Mwanahabari wa kijeshi Doron Kadosh akiwa na maelezo ya ziada kuhusu jinsi shambulio la kumuondoa Muhammad Sinwar lilivyotekelezwa kwa njia ambayo ingegeuza mfumo wa mifereji ya maji kuwa mtego wa kifo kwa wale wanaokaa huko: - Katika shambulio hilo, Jeshi la Wanahewa lilitumia risasi kadhaa...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Mda wa ndugu zetu wahzabe kuwatafuna nyani wote waliokuzunguka

    Leo sitoi salamu ,ila uwepo wenu wanajf umezingatiwa popote ulipo . Wapo watanzania wenzetu wahadzabe nchini mwetu/ mwao, hawa ndugu zetu ni fisi tu hawamtafuni kwa sababu wanasema anakula watu , hivyo tofauti na fisi ,mnyama yoyoete akipita kwenye kumi na nane zao lazima atafunwe. Na kwao...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

    Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  17. JamiiForums Tanzania Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

    Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani. Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio...
  18. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli, vipi kuhusu ambao hatukufanikiwa hata kuona maiti za ndugu zetu?

    Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu. Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi. Israel...
  19. JamiiForums Tanzania Tuelimishane, Mipaka yetu ya kutoa maoni ni ipi ndugu watanzania ?

    Happy Muungano Day! Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini. Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu angu amemaliza form 4 shule za technical na amefaulu vzr ila anataka chuo je asomee kozi gani yenye soko kwa upande wa technical?

    Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…