ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    Kuna wakati inatokeaga kama ajali mtu usiye mtarajia akaja kuwa rafiki wa muhimu kwenye maisha yako. Mm nilikutana na huyu jamaa kama kmteja tu na huu ni mwaka wa 5 amekuwa rafiki wa faida kwetu sote wawili.
  2. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  3. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wachaga na wakikuyu ni ndugu waliiojificha wakafichuliwa na tabia zao

    Wachaga na Wakikuyu Wote wanalima kahawa Wote wanapenda pesa Wote ni wakatili Wote ni wezi Wengi wao ni Wakristo Wote ni wakabila Wote ardhi zao zinafanana Wanaishi kwenye miinuko ya milima Kilimanjaro na Kenya respectively Wote hupenda kudumisha mila Wote wana tabia ya kuchukuana ndugu kwa...
  5. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Kutoka kimapenzi na ndugu

    Habari za muda huu Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 27. Miezi minne iliyopita nilikutana na Binti wa miaka 25 ambae tuliingia kwenye mahusiano kwa takribani miezi minne ila tuliachana kutokana na changamoto ya yeye kudai kua nimeshindwa kumuhudumia upande wa nahitaji yake ya kifedha Baada...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu!

    Wakuu! Niongezee sautii ama? Kitimoto inaliwa na wenye pesa tu ndugu mheshimu
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kutekwa kwa Ndugu wa Mgombea Udiwani CCM Sirari

    Sirari, Tarime – Mara Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime. Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Big up kwa member hamis77 kwa michango yenye facts na mantic

    hamis77 ni baadhi ya great thinkers wachache waliobaki JF Endelea kushusha nondo ndugu Kama vile hapo chini naona comments za "unajipongeza mwenyewe"😂😂😂
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Acha kusema Repeat again what you said ! tulia na useme Repeat what you said ndiyo utakuwa sahihi na kimombo!

    Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wazaramo walivyokuwa wanatafuta mchawi iwapo ndugu yao amefariki, na jinsi walivyomuadhibu

    NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  15. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole Scandal inaweza kuwa na mwelekeo wa Watergate Scandal ya Washington Post?

    Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  18. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  19. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
  20. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania na Wakenya ni ndugu? Mbona ugomvi na mambo zao ni kama wakaka au wadada wanagomabana

    Hawa jamaa siwaelewagi? Wakenya na watanzania ugonvi wao usijaribu kuuingilia. Wanapakana mipaka na kugawana makabila wajaruo na wamasai na mlima kilimanjaro. Wanautani usio kwisha. Huyu akifanya hiki mwingine anaiga ili aonekane kamzidi. Hatari sana!
Back
Top Bottom