ndugai

  1. N

    Shutuma dhidi ya ndugai zilitakiwa kuibuliwa na bunge, na msamaha ulitakiwa kuombwa kwa bunge na wananchi.

    Kongole wanaJF.......kutokana na spika kuwajibika kwa bunge na wananchi, ikiwa matamshi yake yalikiuka mwenendo, sheria na taratibu za bunge, shutuma hizo zilitakiwa kuibuliwa na bunge lenyewe na kama ni kuomba msamaha ndugai alitakiwa aombe huo msamaha kwa bunge au moja kwa moja kwa wananchi...
  2. Mzee Mwanakijiji

    Nani ametoa Kauli ya kukubali Kujiuzulu kwa Ndugai? Hajajiuzulu!!?

    Nauliza tu maana bila kuambiwa kama amekubaliwa kujiuzulu anaweza kutengua barua hiyo na hakutakuwa na la kumfanya. Unapojiuzulu mamlaka unayowajibika kwake inatakiwa iseme imekubali. Hii ndio sababu wakati mwingine mtu anaweza kukataliwa kujiuzulu (mifano ipo mingi). Taarifa ya Katibu wa Bunge...
  3. S

    Tuupime weledi wa NDUGAI kwa vigezo viwili vifuatavyo:

    Ndugai ameonekana kuhoji mkopo wa serikali wa Tril.1.3,ni sawa lakini tukumbuke mambo mawili yafuatayo: 1.Mbona hakumuunga mkono CAG prof.Assad kipindi ambacho palikuwa na matumizi mabaya kupindukia ya fedha za umma? NB: Trilioni 1.5 aliyohoji Zitto nayo je? 2.Kama lengo ni uwazi wa mkopo...
  4. L

    Ndugai yupo wapi? Je aliandika barua ya kujiuzulu??

    Ndugai yupo wapi?? Je aliandika yeye hiyo barua. Nimepenyezewa Ndugai yupo kizuizini. Hata ile barua iliyoandikwa hajaandika yeye.
  5. Idugunde

    Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

    Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania. Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba. Sasa, watanzania...
  6. B

    Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

    Amefurushwa Mh. Ndugai kiongozi wa mhimili kinyume cha katiba. Katika hali ya kusikitisha, ni Chadema na NCCR pekee ndiyo angalau wamefahamika wanasimama wapi kwenye kadhia hii: Bado hakuna matamko yoyote rasmi ya kupinga au hata kukemea vikali kabisa ukiukwaji mkubwa huu wa haki za Mh...
  7. MamaSamia2025

    Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai. Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata...
  8. N

    Suala la Ndugai ni over-reaction, watawala jaribuni kuwa na ustahimilivu

    Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu. Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
  9. Suzy Elias

    Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

    Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu. Muda utaongea.
  10. SULEIMAN ABEID

    Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

    SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo. Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
  11. M

    Fahamu kwa nini Ndugai hatakaukiwa na tabasamu njia nzima kwenda Bank

    Why Job Ndugai will still smile all the way to the bank thecitizen.co.tz Jan 7, 2022 12:00 PM Even though the Speaker of Tanzania's National Assembly, Job Ndugai, has unceremoniously resigned from his post, he will still enjoy most of the pecuniary and other benefits he was accustomed to while...
  12. Anyisile Obheli

    Ndugai ujeuri wake umemwangamiza mwenyewe!!

    Ukumbile Ikina ikitali uje kwingila juughwe Mzee Ndugai, tukubhakana loli 😅 Wakati Mwingine ukiishi kwa uaminifu mwingi mitandaoni hukosi la kujifunza. Hivyo hata vyeo vyenu mngetathimini kwa kuangalia Jamii inayowazunguka inawatazamaje?? Hata Mama Samia H Suluhu Hana budi kuongeza jicho la...
  13. Kipenzi Changu

    Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Tarehe kama ya leo 7 Januari,2019 aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai alimtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge siku ya Januari 21, 2019 kwa hiari kwa ajili ya kuhojiwa, vinginevyo angepelekwa kwa pingu. Spika...
  14. Cannabis

    James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya

    Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Mhe.James Mbatia amesema atakwenda Mahakamani kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya wa Bunge kwa sababu Mhe.Job Ndugai hakufuata taratibu za kisheria na kikatiba kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge.
  15. Kichuguu

    Job Ndugai kakumbusha utaratibu mzuri ambao ulishasahulika Tanzania. Tuuendeleze

    Mara ya mwisho Tanzania kuona kiongozi aliyeshukiwa kufanya makosa akambiwa ajiuzulu na akatekeleza, ilikuwa ni mwaka 2008 ambapo Lowassa alijiuzulu kutoka kiti cha uwaziri mkuu. Hivi majuzi kuna Waziri alishukiwa kufanya maamuzi "nonsense" akaambiwa ajiuzulu, ikawa kimya. Lugola alifokewa...
  16. Petro E. Mselewa

    Jicho la kisheria kuhusu uhalali wa barua ya Spika Ndugai kujiuzulu

    Nikiri wazi kuwa nami, nikiwa mtanzania wa kawaida na mfuatiliaji mzuri wa mambo ya kisiasa na kijamii, nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sakata lililopelekea Spika Job Yustino Ndugai kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake ya Spika. Nimefuatilia pia mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa barua...
  17. K

    Mwanasheria: Barua ya Job Ndugai kujiuzulu Uspika ni batili kwa mujibu wa Katiba

    Leo nimesikiliza Mwanasheria mmoja kupitia UTV ameeleza kuwa kwa mujibu wa Katiba Spika akitaka kuachia madaraka anapaswa kulitaarifu Bunge na si Chama kama alivyofanya. Je Bunge litakuwa na uhalali wa kufanyia kazi barua yake kama asipoandika barua kwa Katibu wa bunge?
  18. The only

    Askofu Gwajima acha kumkana Job Ndugai; Rais nakujuza

    Mu hali gani! Mama is so smart sisi wataalamu wa movies za kungu fu tunamwita master. Alipoingia wengi ,hasa mm tulimdharau kuwa yuko soft anadhani uraisi ni kikoba. Muda ukaenda akachagua mbwa mbalimbali madarakani ,ndo nikajuta hata kuwa CCM nkasema huyu naee ,yeye pia muhanga wa lile...
  19. kmbwembwe

    Kisa cha kutimuliwa Job Ndugai Uspika na utawala badala ya kutimuliwa na Wabunge

    Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza kusema baada ya kutofautiana na spika na Spika kujidhalilisha kwa kuomba kinyonge msamaha kwa jambo...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko. Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe. Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni. Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Back
Top Bottom