fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,655
- 9,209
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni tongotongo,ndoto ni nini?