Njozi niliyopata ilikuwa hivi..
Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,
gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...