ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga imetumia "akili ndogo" ya TFF kutafuta sababu?

    Hii ndio maana halisi ya Utopolo. Huyu utopolo hata kanuni za kupewa point 3 hazijui. Sasa Simba Sc inahusika vipi? Msingekuwa Utopolo mngefanya maamuzi mawili. 1. Kuingiza timu saa 1 mkacheza, au 2. Mkaondoa timu na kushinikiza Karia na Waziri wajiudhuru
  2. Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

    Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu. Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende? Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi...
  3. N

    Mchungaji Msigwa aliwahi kusema "akili ndogo inaongoza akili kubwa" - siasa hizi bhana

    Wale wabunge wanaojinasibu kuwa ni vichwa lakini ni darasa la saba tu sio tu hao Mchungaji Msiwa aliwasema. Bali hata viongozi wengine ambao hawatumii kabisa akili zao na kuelimika kwao (darasani) kufanya mambo ya kama hawajaelimika kabisa. Hawa watu ni dizaini ya Ndugai - yaani wanawategemea...
  4. Nini hatima ya Ofisi ya Spika iliyojengwa Urambo?

    Kipindi cha Uspika wake ndugu Samwel John Sitta alijenga Ofisi ya Spika Jimboni Mwake Urambo ( Sijui huyu alikuwa anawaza nini) 1. Je Haukuwa Ubadhirifu wa Mali ya Uma ukizingatia sasa hivi ile ofisi haitumiki? 2. Je itakuwa ni Busara kwamba Bunge liweke kigezo cha Kuwa Mbunge wa Urambo kama...
  5. G

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo kata ya msigani mtaa wa kwa Yusuph. Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja...
  6. Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
  7. J

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina nguvu, angalia walivyozimeza CUF na ACT pia Chadema haijawahi kupata mbunge!

    Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao. Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana walugaluga, washamba wa madaraka na vinara wa ufisadi wa rasilimali za nchi. Hata hivyo Mungu ni mwema kila...
  8. Bulaya: Fidia ya wanaoharibiwa mali na wanyamapori ni ndogo, kuna double standard

    Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya amesema kumekuwa na 'Double Standard' ambapo mifugo inapoingia hifadhini fidia kubwa hotozwa lakini wanyamapori kama Tembo wanapoenda kuharibu mali za wananchi fidia yake ni kidogo. Akimjibu, Naibu Waziri wa Maliasili, Mary Masanja amesema ni kweli kumekuwa...
  9. Zanzibar nchi ndogo yenye nguvu ambayo imekuwa ikiamua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano awe nani

    Zanzibar ndio imekuwa ikiamua Rais wa muungano awe nani Mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana kuwa taifa moja la Tanzania. Swala likaja nani awe Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Nyerere hakutaka kujikweza akaona amwambie Rais Karume kuwa awe yeye Karume. Karume akakataa katakata...
  10. Kwa milioni 5 naweza kujenga nyumba ndogo Dodoma?

    Hivi kwa mil. 5 naweza kujenga nyumba ndogo ya chumba 1, sebule, jiko na choo mpaka kiwango gani? NB: Kiwanja kipo Dodoma Kisasa Au niongeze mpaka ngapi wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…