ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Tv mbili (Hisense) na Ps3 kwa Tsh. 900,000 tu!

    SOLD....
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soma kwa umakini. Elimu ndogo ya ulinzi dhidi ya udukuzi mtandaoni

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine. Mara zote account...
  3. JamiiForums Tanzania Aliyesema tanzania IQ yetu ni ndogo ni kweli

    Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka. Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu...
  4. JamiiForums Tanzania Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

    Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na...
  5. D

    JamiiForums Tanzania China wanastrugle kukinyakua kisiwa ili isiwe chaka ya maadui lakini sisi tuko busy kukaribisha maadui. Au ni akili ndogo!!!

    Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra mgando. China kwa gharama yoyote wanataka kukinyakua taiwani na marekani inashupaza shingo mana...
  6. JamiiForums Tanzania Festo Sanga: TANESCO imezidiwa, 'Man Power' yao ni ndogo, ziwepo Taasisi 3 zinazosimamia suala la umeme

    Tunapozungumza leo, uwekezaji uliopo nchini wa viwanda na migodi (Mfano Mgodi wa Geita kwa siku moja unatumia umeme wa Mkoa mzima wa Njombe, huo ni mgodi mmoja tu je tuna migodi mingapi?, hapo hatujazungumzia Viwanda na matumizi binafsi).Vilevile namna serikali ilivyosambaza kwa ukubwa Umeme...
  7. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini? Maoni yenu wakuu.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogo ndogo Chanika Dar es salaam

    Wakuu wa JF ....nauliza kwa maeneo ya Chanika Dar kwa sasa ni biashara gani ndogo inaweza kuwa nzuri kwa kufanya maeneo yale ya Chanika kwa Mtaji takribani wa 2M
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka mingi kupita, leo ndiyo naona athari ya Nyota ndogo

    Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo.. "Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii. Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo. Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii... Oooh achana nao...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji frame ndogo mjini mwanza

    Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
  11. G

    JamiiForums Tanzania Figisu: Basi la Mamelodi la kuwapokea Yanga lasimama njiani na kuwaomba wasubiri litengenezwe, Yanga waamua kutumia hiace ndogo

    Ni wazi kabisa hizi figisu ila cha kushangaa ni kuona timu kubwa kama Mamelodi kufanya hivi vitu wakati wao walipokelewa vizuri hapa Tanzania, tushazoea kwa waarabu ila sasa imeanza kuwa hadi kwa waafrika wenzetu?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  13. JamiiForums Tanzania Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
  14. JamiiForums Tanzania Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

    Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa...
  15. JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Gari ndogo Imejam tyre za nyuma

    Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break sikuwa nimeweka so tusiende huko) ila baada ya muda mfupi nikajaribu tena kuondoka ikakubali bila...
  17. JamiiForums Tanzania Ijue hifadhi ndogo kuliko zote Tanzania

    Hifadhi ya kisiwa cha Saanane ndiyo hifadhi ndogo kuliko zote Africa mashariki inayopatikana mkoa wa Mwanza na ndiyo hifadhi pekee iliyopo katikati ya mji. Ni mwendo wa kilomita mbili tu kutoka mjini na kuifikia iliopo. Inapatikana kwenye kingo za ziwa Victoria. Ni hifadhi inayokupa nafasi ya...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza mashine ndogo za kulimia

    TUNAUZA MASHINE NDOGO ZA KULIMIA =AZWPYjHWWy-JF0dR8lwvMn1FGYNV-v2JlqCEjvPkQD8yDdDQ09V9-DMA8okDqeZ9XMSoAOweaN8fEWEK-MTDJF-7g1T4x7mlV-0T8XsjhAAZguqj9WI_rbSw3eFN6nTsMV-1oie29TdCOTuAeZ-DOMfJoa7xmB-KENL7vUiQgdmbjxDejYPI3Iex8PRdMdkZr1s&tn=*NK-R']#MINPOWERTILLER Okoa muda/nguvu kazi pamoja na gharama...
  19. 1

    JamiiForums Tanzania Jinsi Hyati Magufuli alivyochafuaga sera ya Mambo ya Nje na kupaka doa sehemu ndogo ya taswira ya mzee Mwinyi (kupitia kwa Rais Samia)

    Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku...
  20. JamiiForums Tanzania Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na BoT

    Na Eva Valerian na Asia Singano Waratibu wa huduma ndogo za fedha nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kushirikiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ili kuboresha huduma za fedha na kuleta maendeleo ya kiuchumi hapa nchini. Hayo yalisemwa na Afisa Mkuu Mwandamizi Idara ya Uendelezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…