ndoa

  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo manne muhimu kwa mwanamke kuijenga amani ndani ya ndoa yake

    Salamu, Kwa ujumla ndoa ni jambo kubwa lenye wigo mpana na mambo mengi ndani yake ambayo si siku moja wala mwaka utatosha kuyaelezea yote. Hakuna ndoa iliyo kamilika kwa 100% wala binadamu aliye kamilika kwa 100%. Lakini yapo mambo machache angalau kwa kuyafuata yanaweza kukubadilisha kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Jibu langu kwa Liverpool VPN na wenye shaka sa ndoa

    Liverpool VPN ameanzisha uzi huu Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa. Anashare msimamo na watu wanaojitambulisha kama MGTOW (Men Going Their Own Way) kabla sijafika mbali nauliza hili swali "Mapenzi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kaipo cha ndoa Afrika inabidi turuhusiwe kusema NITAJARIBU kuliko kusema NDIO

  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Wosia siku ya ndoa yangu kwa mwanamke nitakayemuoa

    WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA Picha: www.wikipedia.com Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr. Mob/WhatsApp: +255 788000273 Email: emmapeter759@gmail.com Instagram: emmapetertz Source: -------NIL------ “Maisha yanaenda kwa kasi sana, siku hizi mwanamke mwenye tako anajiamini...
  5. JamiiForums Tanzania Ameapa kwamba lazima atafunga ndoa na mimi

    Huyu binti simuelewi, baada ya kunikasirikia juzi nilipogoma kwenda kulala kwake, Jana kaja night kwangu, baada ya mchakato mzito akaniapia kwamba, 'kwa vyovyote vile, iwe mvua, jua, kwa Ndumba, maombi, kukesha ata kwa damu lazima atahakikisha nafunga nae Ndoa" Nimemuuliza shortly kwa nini...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa katika umri mdogo/utotoni

    Makala haya mafupi yanaletwa kwenu na mwaandishi wenu Orkipirie lenaiterru kopp. Ndoa za utotoni au katika umri mdogo ni pale ambapo msichana au mvulana wanapoingia katika ndoa wakiwa katika umri mdogo sana chini ya miaka 18.kwani umri mdogo huanzia 0-17miaka watoto ambao wapo katika umri huo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya neno ndoa halali

    Nimewasikia wengi wakilitumia neno ndoa halali. Wakisema ni mume wangu halili, wengine wakisema mke wangu halali. Wengine wakisema kuwa wamefunga ndoa halali n.k. Je, mume anaporudi nyumbani asubuhi bila kusema alikuwa wapi hiyo tutaendelea kuiita ndoa halali? Mke na mume kila mmoja hajui...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini tunaoa so called `Wife materials` lakini bado kwenye ndoa ni majanga?

    Habari wakuu, Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars tunakuwa nazo kabisa kwamba usioe huyu au yule na tunazingatia, lakini kwenye nyumba hali bado ni tete...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

    Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa. Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
  10. JamiiForums Tanzania Je, tendo la ndoa linafaa wakati gani?

    Salaam wana jukwaa. Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama Waafrika au Watanzania zinasemaje? Haya mambo ya kutikisa kabla ya kutumia huko mbeleni kutakuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na Wahariri leo 28.6.2021

    Wajumbe. Rais Samia Suluhu anazungumzia na wahariri leo mnamo saa 9 alasiri. Tukio hilo linafuatia Rais kumaliza siku 100 akiwa madarakani. JamiiForums kama mdau mkuu wa habari humu nchini tupendekeze hapa maswali ambayo tungependa wahariri kamuulize mama . Japo siyo hayo lakini yenye mlengo...
  12. JamiiForums Tanzania Kadri wanawake wanavyosimama kudai haki sawa, ndivyo wanaume wanavyozidi kuacha kutekeleza majukumu yao

    Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena. Zamani wanaume walikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Anasema amechoka kuvumilia, tufanye mapenzi kabla ya ndoa

    Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete. I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waishio mikoa tofauti

    Salaam. My first thread kipande hiki cha mahusiano which is my favourate in this platfom. Twende kwenye topic, tupeane experience kwa wanandoa wanaoishi mikoa tofauti kutokana na sababu za kikazi n.k. Inakuwaje kuwaje hasa kwa mwanaume issues kama usafi wa ndani, kufua, mambo ya kutandika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mapenzi ya kweli kwenye hili?

    Habari wapendwa na poleni kwa majukumu. Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo! Kwenye maisha ya mapenzi au pengine maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi sana na bila kujali tunapaswa kupambana nazo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ndoa ina umuhimu gani zama hizi za dunia ya utandawazi?

    Lengo kuu la kuingia kwenye ndoa tangu enzi za mababu ni kupata mtu wa kuchakatana naye. Ndiyo maana mahanithi hawaruhusiwi kufunga ndoa.. Ndoa ilikuwa na maana na muhimu zaidi enzi za mababu kwasabb ilikuwa haiwezekani kumpata mtu wa kuchakatana naye bila ndoa. Watu walikuwa na maadili ya...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia ni kama tuko fungate (Honeymoon); inabidi tuwe na Katiba Mpya ili ndoa iwe salama kwa wote

    Utawala uliobora ni ule utawala wa makubaliano baina ya mwanaichi na mamlaka Suala la katiba mpya nalifananisha na ujio wa chupi za watoto maarufu pampas! Zilipo ingia kwa Mara ya kwanza Tanzania baadhi ya watu walizipinga sana, wengine walidai zinaleta uhanisi kwa watoto, wengine walisema...
  19. JamiiForums Tanzania Ushawahi kususiwa mwanamke!

    Binafsi nimeshawahi kususiwa wanawake wanne kwa nyakati tofauti ila ndoa ilinikosakosa kama Mbappe alivyokosa penati jana! Binafsi mbinu nazotumia kukwepa ndoa hizo za dharura ni kuwapokea kwanza bila kuleta ubishi na baada ya hapo ni kupiga matukio hadi anasepa mwenyewe [emoji28] Vipi wewe...
  20. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…