ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuzingatia kabla ya kufunga ndoa

    Mambo ambayo ni ya msingi ili kufanya muunganiko wa mwanaume na mwanamke uweze kutambuliwa kama Ndoa ni pamoja na haya yafuatayo: a) Hiari : lazima muunganiko utokane na chaguo binafsi la wahusika; bila Udanganyifu, laghai au kurubuniwa kwa aina yoyote b) Kusudio la kudumu: muunganiko wa...
  2. JamiiForums Tanzania Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
  3. JamiiForums Tanzania Siri ya Wanawake kuficha mateso ndani ya ndoa

    Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na kiuchumi, ambazo zote ziko mikononi mwa mwanaume. Na Unyanyasaji uko wa namna mbili, wa kihisia na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Heshima vs Upendo katika ndoa

    Habari wakuu, Heshima yenu popote mlipo Naanza kwa kunukuu Wakolosai 3:18-19 "Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao". Huwa najiuliza kwa nini Mungu alimuaguza mwanaume kumpenda mkewe huku mke akiagizwa kumheshimu...
  5. JamiiForums Tanzania Meme Kabati amekatwa korodani na mkewe kwakushindwa kumridhisha mkewe tendo la ndoa

    Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai ya kwamba korodani hizo hazina faida kwakuwa Mumewe hajawahi kumridhisha kimapenzi kitandani hata...
  6. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi

    (usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda. Leo...
  7. JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufanya mapenzi kabla ya ndoa au baada kipi ni kipi? Ushauri tafadhali

    Wajumbe hawajamuacha mtu salama kauli hii ni enzi hizo. Wadau tuchambueni maada hii kwanu nipo njia mbaya sijui chakufanya. Before or after ndio poa.
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  10. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  11. JamiiForums Tanzania Ndoa imeingia doa. Msaada wa mawazo unahitajika sana

    Habarini! Ndoa ya ndugu yangu wa damu (kaka) imeingiliwa na kirusi hatarishi, maji yamezidi unga. Alimuoa binti (mke wake) kigori kabisa, na kwa utamaduni wetu, hili huwa tukio la heshima kwa muaji na waozeshaji (familia ya binti) pia. Baada ya miaka sita ya furaha na huzuni, ndoa ya ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania Wikileaks: Julian Assange aruhusiwa kufunga ndoa jela

    Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa. Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao alisema walipatikana wakati alipokuwa akiishi katika ubalozi wa Ecuador mjini London . Huduma ya jela...
  13. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  14. JamiiForums Tanzania Tuongee kiume: Nini maana ya ndoa?

    kufurahisha. Na leo tunaonyeshana baadhi ya tafsiri hizo. Ndoa ni kumuita mwanamke aje atumie pesa zako, kisha aone haitoshi, azae marafiki zake ili washirikiane kula pesa zako zaidi. Kisha baadaye ukianza kufulia marafiki zake waseme tumelelewa na kuhudumiwa na mama, mzee alikuwa anazingua...
  15. JamiiForums Tanzania Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
  16. JamiiForums Tanzania Visa vya wanandoa/wapenzi kuuana vinaongezeka kila kukicha

    Niende moja kwa moja kwenye mada, nipo mkoa wa Geita kikazi na leo nimefanikiwa kufika sehemu inayoitwa Nyarugusu visa nilivyovikuta vinashangaza na hizi hapa ni simulizi nilizozikuta kwenye msiba uliovuta hisia za watu wengi. Ilikuwa ni msiba wa mama mmoja aliyeuawa na...
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa Zinavyovunjika Dar/mikoani: Takwimu zinatisha

    Takwimu za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita), mwaka 2020, zinaonyesha kuwa wakala ulisajili talaka 511 Tanzania nzima kati ya hizo 221 kutoka Dar es Salaam pekee. Idadi hiyo ni ongezeko la talaka 69 ikilinganishwa na talaka 442 zilizosajiliwa mwaka 2019. Msajili wa ndoa na talaka wa...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya kufunga ndoa, wapanda zao mkokoteni. Kupanga ni kuchagua..

    Efrahim Mgala ameamua kutumia usafiri wa mkokoteni baada ya kutoka kubariki ndoa na Mkewe Emakulatha Mwashiuya katika Kanisa Katoliki katoliki Vwawa mkoani Songwe, Efrahim na Emakulatha ambao ni wakazi wa mtaa wa Ilembo ulipo Vwawa wameamua kubariki ndoa baada ya kuishi pamoja miaka mitano...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya mahusiano ya kuelekea ndoa

    Wapendwa, Wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika ndoa. Awe na sifa zifuatazo: - 1) Elimu: Form Four na kuendelea. Kama ni la saba, awe tayari...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiniona nipo kwenye ndoa na sijawahi kukupa kadi ya harusi kwa ajili ya mchango; usiniletee kadi yako ya mchango wa harusi

    Kutokana na ugumu au vipaumbele vya maisha, watu wengi wanajitahidi kupunguza matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima. Sasa wewe kipato chako hakitoshelezi kufanya sherehe ya harusi kubwa, huku ukitaka sherehe yako ianzie labda milioni 20, wakati wewe kianzio ulichonacho labda milioni 1; hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…