ndoa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo wa ndoa anapokublock kwenye simu anakua na maana gani?

    Kwema waheshimiwa? Hivi mkeo wa ndoa mnaeishi nae nyumba moja na kulala same bed anapokublock kwenye normal calls or WhatsApp, anakua na maana gani? NB;Hii kesi ni ya jamaa yangu.
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa yaingia matatani baada ya baba wa mtoto kusikia watu wakisema mtoto siyo wa kwake

    Iko hivi, hili tukio limetokea hapa ninapoishi, jamaa akiwa amekaa zake ndani amepumzika na mihangaiko ya hapa na pale, mkewe na majirani wenzie wapo nje kibarazani wakipiga stori. Katika stori zao wakaanza kumsema mke wa jamaa kuwa huyu mtoto baba yake ni nani? Mbona hawajafanana hata ukucha...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Habari za mida wana MMU, Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha. Sasa majuzi nimekuta...
  4. JamiiForums Tanzania Nisiwanyime taarifa Tarehe 17/06/2022 Ninafungua ndoa na Msweden (Mswidi)

    Habari zenu bwana mko salama ? Nimewapa taarifa nafurahia sana Mtoto wa kiswidi ndo kaangukia mikononi mwangu Atakuwa kamaliza chuo maana wazazi wake walisema mpaka amalize Upsala University Karibuni. Itafanyika Bukoba TANZANIA...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

    Habari za siku nyingi watu wa Mungu. Hivi ni utaratibu gani unafaa kufuatwa katika kuchagua ndugu wa kuishi nao baada ya ndoa. Nakumbuka mwanzo kabisa kipindi namuoa mke wangu nilimjulisha kuwa napenda sana ndugu ila kuishi na ndugu ni mtihani kama mtu ana uhitaji na tuna uwezo wa kumsaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania mtu anaweza kufunga ndoa mahakamani?

    Nasikiaga tu ndoa za kwa mkuu wa wilaya/Bomani. Inawezekana kufunga ndoa mahakamani? Na swali la nyiongeza, ndoa za kimila hufungishwa wapi, na nani?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  8. JamiiForums Tanzania Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Siheshimiwi mtaani kwa sababu sijaoa

    Jamani najikuta nawaza sana hivi nitatoa lini? Mbona muda unazidi kusonga? Shauku ya kuoa inakuja mara inapotea, ukimpata unayempenda changamoto inakuwa kiuchumi unakuwa hauko vizuri, ukiwa vizuri kiuchumi wakumuona humuoni Jamani mpaka inafikia hatua nawaza nini kinanisibu au kuna mkono wa...
  10. JamiiForums Tanzania Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

    Sikia hii habari INTRO Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku. FLASH BACK Nilianza kumjua 2019 baada ya kuhamia pale ofisini. Alikuja akiwa na demu (mchumba) kwa kipindi hicho walikua na miaka mi3 wapo...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Ndoa yangu umefikia pabaya sana

    HABARI wakuu, kwanza kabla ya yote niwatakieni mfungo mwema. Umri wangu ni Miaka 33, Nipo katika ndoa pia nina Watoto Wawili na huyu mwanamke, naona nisiandike Mengi kuhusu maisha yangu na huyu Mwanamke ila kimsingi tu ni MTU ambae ninapitia changamoto nyingi sana katika mahusiano haya, yaani...
  13. JamiiForums Tanzania Kama cheti na sheria ya ndoa havitambui kuchepuka iweje u-catch feelings ukigongewa wakati uli-sign mwenyewe?

    Muhali gani waungwana. Naomba niwapotezee muda niende moja kwa moja kwenye suala. Dec mwaka 2020 niiitisha cheti cha ndoa kupitia uzi 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/mwenye-picha-ya-cheti-cha-ndoa-naomba-a-share-na-sisi-tafadhali.1819295/ Vyeti vikaletwa Mpaka vyeti kutoka nchi za...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke hana thamani, akitamkiwa TALAKA TALAKA TALAKA, ndoa imeisha hapo

    Kwa hakika mwanamke ana thamani ndogo mnoooo.... Ukiachana na talaka halali pale mwanamke akikosea, kuna muda mwanaume anaweza kutaka tu kumfukuza mke wake, hapo akitamka tu Talaka mara 3 basi mwanamke anarudi kwao huko ndoa imeisha
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mabinti ambao hawajaolewa kuhusu wanaume wakatili kwenye ndoa

    1. Usiogope kuolewa kwa hofu kwamba utauwawa au kupewa ulemavu na mumeo kwenye ndoa! Tangu mwaka umeanza umeanza au ndani ya miaka 10 iliyopita ni ndoa ngapi unazifahamu au za watu maarufu ambazo umesikia mke kauwawa na mumewe? Shetani anakuza ubaya wa mmoja ili kuwakatisha tamaa muone ndoa na...
  16. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Victoria na David Beckham afunga ndoa

    Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko Marekani.
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake msikae kimya kwenye ndoa kwa unyanyasaji kisa watoto

    Maisha yako ni bora sana kuliko ndoa. Watoto watakua tu. Ukiona dalili hatarishi chukua hatua haraka kwani hakuna spea za uhai wako. REST IN PEACE MAMA WA EKUWEMEE!
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Vifo na migogoro ya ndoa havitaisha hadi pale serikali ikiruhusu hili

    Migogoro mingi ya ndoa ukipitia majarada ya kipolisi na dawati la jinsia utagundua kwamba kwa 70% ni kutokana na ndoa za kikristu na 15% ni ndoa za kiislam, 10% ni ndoa za kimila (unyumba na wengi wao waishio kinyumba ni wakristu) na 5% inachangiwa na ndugu wa wanandoa wenyewe Hivyo ukichukua...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

    WAKATI UMEFIKA SERIKALI IRUHUSU NDOA ZA MKATABA, ZILIZOPO NI MSALABA KWA KIZAZI HIKI. Anaandika Robert Heriel Yule Shahidi, kutoka Nyota ya Tibeli. Hatuwezi kujidanganya tena, ndoa zilizopo ni mzigo na msalaba mzito Kwa kizazi hiki hasa Kwa watoto wakiume. Waliopo kwenye ndoa wengi wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…