ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Polisi wazuia ndoa ya utotoni, muoaji na muolewaji wote wakiwa chini ya miaka 18

    Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na maofisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, wamezuia ndoa ya utotoni aliyokuwa akifungishwa mtoto wa miaka 15 kwa mahari ya ng'ombe kumi na fedha Sh200, 000 kwa mtoto mwenzake mwenye miaka 17. Tukio la kufungishwa ndoa hiyo lilikuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa kama chaguo bora zaidi kwa vijana wa kike

    Watafiti wamezungumzia suala la ndoa kwa vijana wa kike, kasikazini mwa Tanzania, wameonyesha sababu za kupamba moto kwa matukio hayo na athari zake kwa waathirika wa mitazamo na mawazo hayo (wanawake). Sababu za kupamba moto kwa matukio haya ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya masala ya ndoa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mabinti: Usikubali kuamuliwa na mtu, maamzi ya maisha yako yategemee furaha yako

    Nawasalimu nyote wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye maada, Ilikuwa mwaka furani nilipata demu mtaani kwetu aliyekuja kuishi kwa shangazi yake akitokea mkoa fulani hivi, Nilipomtongoza alinisumbua kama wiki mbili hivi kukubali,mwishowe akakubari Mahusiano yetu yalidumu kwa mda wa miezi 8...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mapenzi au ndoa kwa wenzi wanaoishi mbalimbali

    Habari zenu wakuu. Wahenga walisema "fimbo ya mbali haiui nyoka" wahenga walijaa busara hasa, wakaongeza na asiyekuwepo na lake halipo. Mimi muhenga mwandamizi nasema hivi, hakuna mapenzi ya kweli, yasiyoambatana na usaliti Kwa wenzi wanaoishi mbalimbali....Yani we uko Kigoma, baby wako Yuko...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ndoa yavunjika kwa kusikiliza maneno ya mama mkwe, binti aanza kuhaha

    Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!! Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kumaliza kwa mwanaume wakati wa tendo la ndoa

    Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo gani? Upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo ambalo linahusisha kukosa uwezo wa kusimamisha uume au kushindwa kudumisha uume ukiwa umesimama wakati wa kushiriki tendo la ndoa. Hili ni tatizo la kihisia na kimwili ambalo linaweza kuhusisha matatizo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kipindi cha miezi michache Iran imenyoga raia wake 251, wengine kisa migogoro ya kwenye ndoa

    Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana. Iran executed at least 251 people in the first half of 2022, including women defending themselves against domestic...
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuoana kabila moja hupelekea ndoa kudumu?

    Eti wakuu hii imekaaje? Ni kweli ndoa za sasa huvunjika kwa sababu ya kuoana makabila tofauti? Nawakilisha tu
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

    Nimegundua ndoa nyingi hazidumu kwa sababu wanawake wengi wameingia kwenye ndoa na wanaume waliokuwa tayari kuwaoa na sio wale wenye mapenzi ya dhati kwao. Inatokea unampenda mwanaume ila hakuoi .anatokea mwingine anatangaza ndoa inabidi ukubali .muda nao haucheleweshi matokeo Ndoa inakuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanafaidika kitu Gani wanapovunja ndoa za Watoto wao?

    Katika pitapita zangu kwa maeneo tofauti niliwahi kukutana na hii shutuma kuwa Wazazi wamekua chanzo kikubwa Cha ndoa za Watoto wao kuvunjika. 1. Je sababu zinaweza kuwa Nini? 2. Je kama mnapendana kwa dhati 3.Wazazi wanaweza kuwa na nafasi? 4. Nini nafasi ya maandiko matakatifu kuhusu Ndoa...
  12. JamiiForums Tanzania Ubabe na msimamo unayo faida kubwa kwenye ndoa na mahusiano

    Sabato njema! Kutokana na vilio vingi humu prakatatumba ikabidi niingie chimbo nifanye research ya haya mahusiano, maana watu wanachezea vitasa tu na vilio kila pande, wengine wanadiriki kujiua au kuwaza kunywa sumu kisa mapenzi. Mimi nimeshadumu kwenye mahusiano kwa masaa mawili tu miaka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa, nikajiaminisha kuwa sasa ni muda wa kuanza process za kuoa rasmi! Nikakaa chini na kutafakari kama huyu ninayetaka kumuoa ni mke wa kuishi naye kwenye shida na raha au anakuja kushiriki tu kwenye matumizi ya pesa zangu...
  14. JamiiForums Tanzania Uchumba kwake ilikuwa ni shida, ndoa nayo ni shida

    Hi ishu ilimpata ndugu yangu mmoja upande wa mama. Ni iko hivi Ni kijana mmoja hivi alikuwa anamasters na Ni mwalimu wa chuo flani nyanga za juu kusini na alikuwa Ana mchumba wake wa kike ambaye alikuwa anatarajia kufunga nae ndoa, alimpendaa Sana walienda mpaka kununua shela la harusi yao...
  15. JamiiForums Tanzania Asia aliikosa ndoa kwa kutingisha kibiriti kilichojaa

    Asia tunaishi nae mtaa mmoja hapa kwetu Kwamtogole. Ametoka katika familia ya waliostaarabika sana. Huko shuleni alikutana na Daudi kijana na walianza urafiki wakiwa A level. Daudi alipata scholarship ya kwenda kusomea u daktari Uturuki baada ya kumaliza kidato cha sita na kupata alama bora...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wengi huwa wapole sana pale wanapoihitaji ndoa ila wakishaipata wanakuwa wakorofi

    Maisha ni safari na msafiri ni mimi na wewe, katika Maisha kuna kuzaliwa, kukua then kufa, wale wenye bahati kama sio walio imara huoa na kupata chance ya kuproduce their offsprings , hii ni KWA kila kiumbe japo huko mwituni huwa hatuiti ndoa. Mwanzoni huba huwa la kushanta kama siyo kuzidi...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi za ndoa na talaka 1,358 zafunguliwa ndani ya miezi 8 Dar es Salaam

    Mashauri ya ndoa na talaka 1,358 yamefunguliwa katika Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke (IJC), Dar es Salaam katika kipindi cha kuanzia Novemba 2021 hadi Julai, 2022. Idadi hiyo ni sawa na mashauri 220 yanayofunguliwa kila mwezi kituoni hapo, hali inayoonyesha kuyumba kwa taasisi nyeti ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ndoto: Je, nimefunga ndoa na jini?

    Habarini Aisee nimeota ndoto ya ajabu sana leo. Nimeota nafunga ndoa na mwanamke mzuri mweusi kabila mhaya and nimeonana hadi na wazazi wake usiku huo tena nikiwa nusu nafahamu. Hii ndoto nimeiota karibu usiku mzima coz nlikuwa nikistuka nikipitiwa tu usingizi inaanza tena. Nimefunga hii ndoa...
  19. JamiiForums Tanzania Ambae hujaoa/kuolewa usiikimbilie ndoa

    Nimekaa nikawaza sana changamoto ambazo nakutana nazo maishani, changamoto hizi muda mwingine zinanifanya nakufuru, na huwa najuta sana, maisha ni magumu, kazi nazo siku hizi zimekuwa ngumu kiasi kwamba hakuna tofauti kati ya mwenye kazi na asie na kazi. siku hizi ukimpata mtu akakusaidia 1000...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa za wanandoa walichaguliwa na wazazi zinadumu na zile za "nimempenda mimi" hazidumu kabisa?

    Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu. Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…