ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  2. JamiiForums Tanzania Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

    Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu: 'Vijana epukeni ngono kabla ya ndoa'

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amelitaka Bunge la Vijana kutoka na azimio ambalo litawaasa vijana kujiepusha na masuala ya ngono kabla ya ndoa. Zungu ameyasema hayo leo Alhamisi Disemba Mosi, 2022 wakati akifungua Bunge la Vijana ambalo limeanza vikao vyake vya siku tano katika ukumbi...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Acha ujinga, mpe tunda mchumba wako vinginevyo utakimbiwa

    Wadada wengi wamekuwa na katabia ka kujifanya watakatifu na wanyoofu kwa wachumba zao kwa kuwanyima sex ili wapendwe zaidi na waonekane wanajitunza. Kama mdada bado ni bikra kumbania mchumba ni halali yake, lkn vinginevyo kuna uharamu mkubwa! Wakati mchumba akinyimwa kuna mhuni anammega huyo...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
  7. JamiiForums Tanzania Haijalishi mahusiano yoyote ya kingono zaidi ya kwenye ndoa ni chukizo kwa Mungu-huponi kwa mjibu wa mambo ya walawi 18:1-30

    Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika...
  8. JamiiForums Tanzania Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

    Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
  9. JamiiForums Tanzania 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  10. JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  11. JamiiForums Tanzania Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kutoka kuichakata mbususu kimasikhara mpaka kuwa mke wa ndoa

    Kinehe bankima na bangosha Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya nyamanoro mtaa wa kona ya bwiru au zaman ikijulikana kama mtaa wa maduka mawili nadhani apa kwa wazawa wa mkoa wetu huu pendwa wa sato sangara na jiji la pili kwa ukubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyeghushi nyaraka za kesi ya ndoa afungwa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa. Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji vyeti vya kuthibitisha ubikira wao kabla ya ndoa

    Ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao, wakati mwingine wanaume uomba wathibitishe ubikira wao jambo ambalo Shirika la Afya Ulimwenguni linachukulia kama ukiukwaji wa haki za binadamu. Nchini Irani katika mwaka uliopita idadi Wairani wanaotoa wito wa kukomeshwa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  18. JamiiForums Tanzania Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…