ndoa

  1. JamiiForums Tanzania Ndoa za Kulazimishwa ni Ukiukaji wa Haki za Kibinadamu Unaopaswa Kupingwa kwa Nguvu Zote

    Magonjwa ya zinaa, ukatili (wa kimwili na wa kingono), mateso ya kisaikolojia, kupoteza uhuru, na woga pamoja na athari nyingine nyingi mbaya ni baadhi tu ya madhara ya kudumu yanayowakumba waathiriwa wa ndoa za kulazimishwa. Ukiukaji wa haki za kibinadamu kwa kuwalazimisha wasichana kuolewa ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoa na kanisa

    Hello, Ningependa kujua mamlaka ya kanisa kufungisha ndoa iliyatoa wapi? Ikiwa Bible inawapa majukumu wazazi wakikubali ndoa tayari. Kuna makanisa yalikuwa yanasitisha baadhi ya huduma Kwa wazazi ambao watoto wao hawajafunga ndoa kanisani. Je, mamlaka hii inatoka wapi? Anyway mwenye andiko...
  3. JamiiForums Tanzania Mahari na kufunga ndoa ndio sababu inayofanya vijana wasioe

    Prakatatumba etumba etumba abaabaabaabaa, nimekaa nimefikiria kitu kimoja, maisha yenyewe yalivyo magumu hivi unaambiwa mahari ya milion 2, hivi hiyo million 2 si naweza invest ikanipatia hela nyingine?.. Just imagine hauko stable then vijana wanaambiwa mahari million 2/3, na bado huyo...
  4. JamiiForums Tanzania Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

    Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona. Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  6. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko katika maisha haya ya ndoa

    Katika maisha hasa ya ndoa mambo Mengi hutokea...Kama kupishana maneno , kutofautiana kifamilia Kwa mke na mume ila yote ni maisha Mtu anayapitia . Ili mtu Aishi Kwa Raha lazima aweje?? Kwa maana mtu ambaye amezoea kudekezwa kweli hajazoea visa vya mama mkwe . Na mengineyo kama ndugu wa bwana...
  7. JamiiForums Tanzania Ashakhum si Matusi: Tuliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu

    Tusipunguze ukali wa maneno wala nini, mliozaliwa nje ya ndoa wote ni wana haramu. Mlipatikana kwa njia ya uzinzi kinyume na mipango ya Mungu. Na mnaozaa nje ya ndoa watoto wenu ni wana haramu. Vijana fungeni ndoa mpunguze kizazi cha wana haramu
  8. JamiiForums Tanzania Jamii iache kuhukumu vibaya wanaume wanao ingia kwenye mahusiano ya kimapenzi ( ndoa ) na wanawake wenye umri mkubwa kuwazidi

    Kumezuka wimbi kubwa la wanaume wengi wanaozama kwenye dimbwi la mahusiano ya kimapenzi na baadae sana wanagundua wapenzi wao wamewazidi umri kitu ambacho jamii ya kiTanzania inakichukulia kama kitu cha aibu na cha ajabu mno. Kwenye kila taasisi kuanzia ya familia, makazini na nyumba za ibada...
  9. JamiiForums Tanzania Tujifunze maisha ya ndoa hapa

    Watu wengi leo tumebaki na tunajiuliza kwanini wimbi la kuvunjika kwa ndoa linakua kwa kasi sana mashauri Mahakamani kuhusu taraka yamekuwa Mengi kiasi kwamba yanataka kuzidi Mashauri ya kesi za Ardhi? Siku moja alinifata ndugu mmoja akawa ananisimulia kisa chake mke wake amekuwa akimfumania...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume wanaokataa ndoa wana matatizo yafuatayo...

    1. Wamekulia katika familia zenye migogoro ya ndoa hivyo wana experience mbaya (Adverse Childhood Effect). 2. Ni wachoyo au waoga wa maisha wakiamini wakioa watakua na majukumu, au maisha yatakua magumu hawatayamudu au mke atatumia mali zake. 3. Wanauelewa mdogo wa binadamu, wakiamini ili waoe...
  11. JamiiForums Tanzania Usiombe mtu unayemjua akukaushie kwa kutokujibu SMS

    Siku 3 zilizopita Mwanamziki Benpol alisema hakufurahia ndoa kama ambavyo anaona wengine wanavyofurahia ndoa zao. Ndoa anayoizungumzia ni ya yeye na Anerlisa - binti kutoka Kenya. Lakini mara kadhaa Anerlisa amesisitiza kuwa hataki kuzungumziwa na Benpol kwa chochote - iwe ni kizuri au kibaya...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

    Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi. Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
  13. JamiiForums Tanzania Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa za kizaramo kulingana na mila na desturi zao

    Desturi ya kuoana kwao. Wazaramu wakitaka mke, kwanza huenda kwa mjomba wa yule mwanamke, akampa khabari—ya kama: "Mimi namtaka mpwa wako kumwoa." Na yule mjomba humjibu: "Vema, lakini nataka mkalio wangu wa maneno, ndipo nikujue kama wewe mkwe wangu." Basi yule mume hutoa reale moja au mbili...
  15. JamiiForums Tanzania Thread ya single boy na wanaume ambao hawajawahi kushiriki tendo la ndoa (bikra wa kiume)

    Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume) Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanaamini wanawake wenye sura na maumbo mazuri hawafai kuolewa, ila wenye sura mbaya wanawatesa kwenye ndoa

    Wanaume wengi wanaamini mwanamke msomi, mwenye kipato, sura nzuri, umbo zuri na exposure hafai kuolewa. Wanaoa wanawake wenye sura na maumbo ya kawaida sana, lakini baada ya muda fulani huanza kulalamika mke wangu ananitesa. Mke mwenye sura na umbo baya lazima atakuendesha sana kwa waganga...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimaye nafunga ndoa, hakika huyu binti anastahili kuolewa

    Ni safari ya miaka 9 ya kufahamiana nae, ni jirani yangu kutoka huko mkoa wenye Mawe mengi zaidi. Nilimfahamu kanisani nikiwa likizo ya masomo (nimetoka advance) yeye akiwa o-level form two binti mdogo sana asiyejua chochote kile, hapo ndipo safari yetu ya kufahamiana ilipoanzia. Kwa akili...
  18. JamiiForums Tanzania Je, mwanamke muongeaji sana anafaa kuolewa?

    Kuna mdada anaongea Sana yani ukiwa nae katika mahusiano yeye kila siku kufatilia kupitia majirani au mashoga wa mitaani, hii inakuaje?
  19. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kubadilisha sheria zake ili kuruhusu Ronalo aishi na mpenzi wake bila ndoa

    Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa hawakawii kukata watu vichwa ka sheria zao kali za kidini...... Saudi Arabia is likely to bend its laws...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ambavyo bwana Denis anateseka na ndoa yake ya kufosi labda malaika pekee ndio waingilie kati!

    Denis ni mfanyakazi wa moja ya ubalozi wa nchi maarufu sana hapo Oysterbay, miaka mitano iliyopita alikuwa mkoani Iringa kikazi, vijijini huko wazee wa mamiradi na ma padiem, hana demu hana nini, ghafla kijijini huko akaona mali kali sana, vijana wanasema pisi ya kwenda, ikabidi aipigishe sound...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…