ndoa

  1. Damaso

    JamiiForums Wanaume kuna sababu zipi zinakufanya upende kahaba kuliko kuwa na mke wa ndoa?

    "Je, kuna sababu yoyote ya mtu kupendelea kuwa na kahaba kuliko kuoa ama kuwa na mahusiano rasmi? Niliona wengi wakijadiliana kuhusu hili na ningependa kujua mawazo yenu." Mdau wa 1: "Kwa upande wangu, naona watu wanapenda kuwa na kahaba kwa sababu inawapa uhuru zaidi wa kutokuwa na wajibu...
  2. Nomadiq

    JamiiForums Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

    #Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki. Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa. Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

    Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka. Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Mnaoa Malaya halafu mnatarajia amani katika ndoa . No. No., Nyumba ambayo ina mwanamke Malaya hakuna kupoa mpaka mmoja atangulie

    Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa. Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi. Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  6. Dola Iddy Wa Chelsea

    JamiiForums Nilikuwa namjaribu kaja mazima ANATAKA ndoa nambwagaje!?

    Habari humu ndani natumaini mkoa poa kabisa ila kwa upande wangu siko sawa yaani Sina amani Sina Raha daaah ☹️! Ebana nisiwachoshe sana IPO hivi wiki 3 KABLA nilikuwa natoka kwa mteja kuset dish nikiwa narudi nilikutana na Binti fulani karibu na kapela s/m Sikikawia nikamvutia kando nikatema...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  8. Right Marker

    JamiiForums Ndoa nyingi za watanzania ni makampuni ya biashara

    MHADHARA (92)✍️ Ndoa nyingi za watanzania zimegeuka kuwa makampuni ya biashara. Siku hizi wasomi ni wengi lakini hawana ajira wala mitaji ya kuanzisha biashara, hivyo wamegeukia kutafuta mitaji kupitia ndoa. Hata ambao hawakubahatika kupata elimu pia wameshafahamu kuwa ndoa ni njia nyingine ya...
  9. majoto

    JamiiForums Sikio la Kufa halisikii dawa - Wakataa ndoa wote

    Wakati unashawishika na watu waliovuta bangi zao, waliojikatia tamaa ya kuishi, wasiotaka ndoa kwa kuwa wao si wanaume wala si wanawake... hawajielewi, waliotingishika akili baada ya kutendwa kwenye mapenzi; waliolelewa nje ya famili na wakachukia familia; kaa chini utafakari. Hapa si quote...
  10. Teslarati

    JamiiForums Watu wanaongelea kataa ndoa ila hawaongelei kuepuka kuzaa na wanawake mataahira.

    Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa. Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini. Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
  11. kwisha

    JamiiForums Maisha yangu ya ndoa ni tofauti na nilivyoyatarajia

    Kabla ya kuoa, nilidhani ndoa ni chanzo cha furaha na baraka. Nilitarajia amani na utulivu, lakini ukweli umekuwa tofauti kabisa. Nimegundua kwamba changamoto za ndoa zinaweza kukuletea presha kubwa, hasa unapokuwa na kipato cha chini. Kipato kidogo kimekuwa chanzo cha migogoro isiyoisha...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Makaburi 28 ya ndoa

    1. Uvivu unaua ndoa. 2. Tuhuma zinaua ndoa. 3. Kutokuaminiana kunaua ndoa. 4. Kutoheshimiana kunaua ndoa. 5. Kutosamehe, Uchungu, Chuki, Uovu na Hasira zinaua ndoa. 6. Mabishano yasiyo ya lazima yanaua ndoa. 7. Kutotunza Siri kutoka kwa Mwenzi wako kunaua ndoa. 8. Ukosefu wa uaminifu (kifedha...
  13. Mwislam by choice

    JamiiForums Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  14. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Mimi na mke wangu tupo bega Kwa bega mbali na maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu

    Habari wakuu. Bana msoto wa Maisha ni mkali sana katika hii Dunia. Mimi na mke wangu tupo Bega Kwa Bega Mbali Na Maisha magumu tunayopitia na upendo wetu umeongezeka maradufu. Ebana shemeji yenu ananipa Moyo Sana katika utafutaji wa ugali.Nafurahi kusema ya kwamba kipindi cha raha tulikuwa...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tofauti na watoto hakuna kingine special kuhusu ndoa za kileo.

    Tofauti na hako katoto innocent hapo juu, hakuna cha maana tena. Too bad kakishafikisha miaka 14 kataanza fundishwa kumchukia baba yake. Modern Weak Men alafu wanakutana Modern Independent Women unadhania nini kitafuata? Ndoa imekuwa engineered katika panels zinazo hamasisha ukosefu wa furaha...
  16. MKATA KIU

    JamiiForums Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

    1. Hakuna madeni 2. Hakuna kusumbua watu michango 3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
  17. Binti wa zamani

    JamiiForums Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🤷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  18. B

    JamiiForums Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

    Habarini, Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada...
  19. The redemeer

    JamiiForums Wanaume wanapaswa kuelewa kwamba si wanawake wote wanatafuta mapenzi au ndoa

    Kwa kweli; Ni mara nyingi wanaume ndio wanahangaika kutafuta wake na wapenzi. Hata hivyo, kuna kundi la wanawake ambao hawavutiwi sana na mapenzi au uhusiano wa dhati, bali wanatafuta msaada wa kifedha. Wanawake hawa mara nyingi wanatafuta mtu wa kulipia gharama zao, mfadhili wa maisha yao...
Back
Top Bottom